Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #61
you tu mkuu๐๐๐๐ jinga sana wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you tu mkuu๐๐๐๐ jinga sana wewe.
AiseeAchana na huyo mkeo ,utaoa Tena hata uzeen mkuu
View attachment 2966187
Ni Chipukizi kwa vyovyote vileWe mkuu una umri gani..?
Na kama sio chipukizi basi...Ni Chipukizi kwa vyovyote vile
๐Na kama sio chipukizi basi...
Ni wale wa ndani ndani sana.. ๐๐๐๐๐๐
Weeeeeeh ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Kumbe hisia zinanguvu kiasi hiki.. nimehisi kitu hata mimi
Wewe ukipata demu mzungu ama mzuri hugongi ama kuoa Tena , umeona ili ugonge ama tutengeneze familia.Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
Hata mwanao anayo hii michezo mzeee ๐๐๐๐Hii michezo ni yavijana wa hovyo grade one...โน๏ธ
kabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",Ujinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
Nayeye atakua kijana wa hovyo Poor BrainHata mwanao anayo hii michezo mzeee ๐๐๐๐
Sasa unamtongozaje mkeo jamani, tena unakubaliwa na bado unalalamika. Huo kama sio ufurushi ni nini!!!๐๐๐๐ Sawa simple ila mambo ya kuitana furushi sijui...
Sijapenda ๐๐๐๐
Ha ha ha hongerakabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",
nkasema moyoni, kweli nina mume[emoji23]
Aisee we ndugu unakichwa kigumu kuelewaSasa unamtongozaje mkeo jamani, tena unakubaliwa na bado unalalamika. Huo kama sio ufurushi ni nini!!!
MmhNayeye atakua kijana wa hovyo Poor Brain