Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Aisee hawa wanawake ni hatari.

Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.

Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.

Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
ACHA USHAMBA.
Mapenzi ya kutumia ID Fake kama vile namba ya simu fake au account fake ili umtest mkeo kwa kumtongoza ni mapenzi ya Kishamba sana, Utoto na Ulimbukeni.

Kama unaamini anakupenda Amini hivyohivyo, hakuna haja ya kuanza kutumia ID fake kumtest, ni upumbavu kabisa huo.
 
Aisee hawa wanawake ni hatari.

Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.

Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.

Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Mtafutie mtu amuoe
 
Wake zenu huwa hawakatai, ukiona amekataa ujue tu sio saizi yako.... uzoefu unaonesha hivyo.
 
kabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",

nkasema moyoni, kweli nina mume[emoji23]
Hukutunza risiti tuone mwamba alivyojimwambafai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio mke wako tu hata wewe ukipata mwanamke serious kuna uwezakano ukamuacha mkeo.
 
Hadi hapo ushagundua vitu anavyokosa mkeo kwako, inakubidi ujirekebishe.!!
Chonde chonde usije kuomba mambo meusi akakubalia utalia na kumchukia..!!

Ila nimecheka ulivyosema kakubali kuolewa 🀣🀣🀣
Ila wanawake tuna ujinga mwingi, yani kaolewa na bado anakudanganya kuhusu ndoa?!! Kingine mkeo anataka kukuchezea na kukupotezea muda kwa kujua ww sio mume wake..!
 
Aisee hawa wanawake ni hatari.

Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.

Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.

Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Kwa kweli hata Mimi nimewahi tongoza Mke wangu akawa tayari kuja kuliwa ,nilishangaa sana 🀣🀣🀣🀣.

Fundisho.Usiwekeza Nguvu Wala kujaza akili yako Kwa mwanamke ,hao ni chawaote πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom