Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #81
mtu awezi kuwaza nje ya mapendeleo na mtazamo wakoπ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu awezi kuwaza nje ya mapendeleo na mtazamo wakoπ
Ndio huwa nakufuatilia comment zako !Mkuu πππππ
KashatikiUmeyatimba jarbu kumuomba na kale kamchezo ili uumie zaid
Duh.Weeeeeeh ππππππππ
Inamana mi na wewe tuna hisia et
πππ
Intelligent businessman njo kwanza
Kwanini unawaka sana we Dada Asha?we mwenyewe huna akili kama mkeo tu maana mwanaume kamili hafanyi ujinga na wajinga......
πππ na bilashaka upendo uliongezeka sana,baada ya kumjua rangi yake halisi,ungejua kua ni muhuni,ungehuzunika sana.kabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",
nkasema moyoni, kweli nina mume[emoji23]
πππππππNayeye atakua kijana wa hovyo Poor Brain
Wewe sio vizuri hivo ujue ππππππSasa unamtongozaje mkeo jamani, tena unakubaliwa na bado unalalamika. Huo kama sio ufurushi ni nini!!!
Sawa sawa ππππππmtu awezi kuwaza nje ya mapendeleo na mtazamo wako
Hapo mkuu umenionea tena sanaNdio huwa nakufuatilia comment zako !
kifupi zinafanana na jina lako
Kwani huko Toktok unatumia jina gani mkuuNdio huwa nakufuatilia comment zako !
kifupi zinafanana na jina lako
Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
Wakati unaowa kahaba ulikuwa unategemea nini?Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
Tangu amehamia daslam, hadi kula yake imebadilika na hamalizi hata soda tukitoka lazima aache kidogo...π€£π€£πππππππ
Mwanao Intelligent businessman hovyo kupindukia aiseeee