Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serious na wewe unaungana na jamaa kwa kitendo alichofanya..😂😂😂😂😂😂😂Ujinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
Kuolewa simple kiasi hiko 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Sasa uko na furushi lako mara ghafla chance inajitokeza, unakataa je kuolewa eti jamani🤣🤣🤣
Vifo vingine ni vya kujitakia..!! Sifanyi usenge huu..!!Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
Muombe Game mwambie mkutane lodge fulan chumba namba fulan akija mpka ndani atajua hajui .Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
Ataolewa na hii acc fakeMuoe kwa mara ya pili
😁😁😁 unajitafutia stress mkuu ila usimchukulia hivyo wenfine umo mitandaoni wanafanya kufurhisha wanaume iama kakubali kumbe anapunguza stress kwa kushinda mtandaoni anachatAisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
ha ha haleo nikuwekee caption
#wacha aolewe na Mimi nikaoe dogodogo 😁😁
Sawa nitakurudia lakini hana shida maana nilimwambia nipo mkoa akasema ye hawez kuja labda nimfuate😁😁😁 unajitafutia stress mkuu ila usimchukulia hivyo wenfine umo mitandaoni wanafanya kufurhisha wanaume iama kakubali kumbe anapunguza stress kwa kushinda mtandaoni anachat
Mwambie muonane uone kama atakubali😂
🤣🤣🤣Kuolewa simple kiasi hiko 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Et furushi dooh
Unasmarsh kwamba unapiga Mbupu sana siyoOya hawa wanawake jau sanaa huo mchezo mi nishawah fanya kwa wanawake tano na wote wakakubali
Kitu nilichokuja kugundua kwamba mwanamke bhana ndo walivyo yana wana uzaifu mkubwa sana tena sana tena narudia wnawake wa udhaifu mkubwa sana tena wote duniani
Yan hio kitu huwez kuibadilisha kwa mwanamke ndo walivyo na ukisema uchukulie serious kila siku utakuwa unabadilisha wanawake kwasbb huwezi badilish huo mfumo wao
Kitu kikubwa ni wew kuacha tu huo mchezo sababu utakuwa unajiumiza tu wew bila sababu
Itoshe kusema wanawke hawariziki na ndo maana mimi nawachukia sana hawa viumbe na nikiwapata nasmash kabisa bila huruma
Hapa mkuu nmekubali kua ndo wanawake karibu wote!Oya hawa wanawake jau sanaa huo mchezo mi nishawah fanya kwa wanawake tano na wote wakakubali
Kitu nilichokuja kugundua kwamba mwanamke bhana ndo walivyo yana wana uzaifu mkubwa sana tena sana tena narudia wnawake wa udhaifu mkubwa sana tena wote duniani
Yan hio kitu huwez kuibadilisha kwa mwanamke ndo walivyo na ukisema uchukulie serious kila siku utakuwa unabadilisha wanawake kwasbb huwezi badilish huo mfumo wao
Kitu kikubwa ni wew kuacha tu huo mchezo sababu utakuwa unajiumiza tu wew bila sababu
Itoshe kusema wanawke hawariziki na ndo maana mimi nawachukia sana hawa viumbe na nikiwapata nasmash kabisa bila huruma
Soma hapo
Mbona moyo wako umetulia sanaAisee hawa wanawake Ni hatari.