Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
leo nikuwekee caption
we mwenyewe huna akili kama mkeo tu maana mwanaume kamili hafanyi ujinga na wajinga......Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
nadhani tuanzie hapa kwenye tatizoWe mkuu una umri gani..?
Ndio kabisa maana tusije tukawa tunalaumu hapa kumbe .......nadhani tuanzie hapa kwenye tatizo
Wewe ndiye mshenzi, mpumbavu na limbukeni wa kutupwa. Unaanza kumjaribu mkeo namna hiyo? Acha ushamba. Ipo siku nawe utato gozwaAisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
πNi kweli hana mume mwanaume kamili hawezi kutumia tiktok labda kama una share na mke wako lipstick
Hivyo nadhani ulichokitafuta umeshakipata. Unamtia majaribuni mwenzako unategemea nn? Ingekuwa ni wewe unajaribiwa na pisi huko unapopaita TIKI TOKO ungekwepa?Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
RAINMBOROπ
Ujinga wake uko wapi?we mwenyewe huna akili kama mkeo tu maana mwanaume kamili hafanyi ujinga na wajinga......
Wee jamaa mkorofi sanaRAINMBORO