Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Bidhaa yoyote ikitengenezwa lazima ijaribiwe kwanza km ipo sahihi.Wewe ndiye mshenzi, mpumbavu na limbukeni wa kutupwa. Unaanza kumjaribu mkeo namna hiyo? Acha ushamba. Ipo siku nawe utato gozwa
Mimi sipo TikTok,mimi nimeungana na jamaa kuhusu njia aliyotumia kumjua mkewe kua ni kicheche,kitu ambacho kimempa funzo la kutomchukulia mkewe alivyokua anamchukulia.Serious na wewe unaungana na jamaa kwa kitendo alichofanya..😂😂😂😂😂😂😂
Eeeeh Tiktok unatumia jina gani ...?
😂😂😂
Kwa nn mwanaume hawezi tumia tiktok ufafanuzi tafadhari maana nataka nikajiungeNi kweli hana mume mwanaume kamili hawezi kutumia tiktok labda kama una share na mke wako lipstick
hahhahaha aise ndo wasaidiz wetu sasa tufanyaje 😁Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
😂😂😂😂😂😂 kudadeki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aisee hawa wanawake ni hatari.

Inaelekea hamna ushirikiano kimapenzi, kama unachomwambia kupitia mtandao kinamvutia, kwa nini usikifanye mkiwa kama mke na mume?Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
uzuri alikuwa anajua ni wewe ndio unamtongoza naye akakujokiAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Toa number ya mke wako mkuu, nikupe majibu ya chat zake na mm, utapata jibu wanapotoleeaHuwa mnawaokotea wapi wake wa hivyo?
Umeona vitu vyako unavofuatiliaWee jamaa mkorofi sana
😂😂😂😂😂😂🙌🙌😂😂
Mitaani tu kakaHuwa mnawaokotea wapi wake wa hivyo?
Aaah ushangae nayy anapigiwa hajui tuToa number ya mke wako mkuu, nikupe majibu ya chat zake na mm, utapata jibu wanapotoleea
Sawa mama john!!we mwenyewe huna akili kama mkeo tu maana mwanaume kamili hafanyi ujinga na wajinga......
Hahaa atakuwa hamtosheleziMuoe kwa mara ya pili
Usimuamini mwanamke hata kama kafaAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu...