Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Chai
 
Mkuu Kaa ongea naye na mwonye na mwambie Kuna UKIMWI
 
Wewe ndiye mshenzi, mpumbavu na limbukeni wa kutupwa. Unaanza kumjaribu mkeo namna hiyo? Acha ushamba. Ipo siku nawe utato gozwa
Bidhaa yoyote ikitengenezwa lazima ijaribiwe kwanza km ipo sahihi.
Umeolewa, umetongozwa umekubali na unataka kuolewa. Km siyo umalaya nini?
 
Serious na wewe unaungana na jamaa kwa kitendo alichofanya..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eeeeh Tiktok unatumia jina gani ...?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi sipo TikTok,mimi nimeungana na jamaa kuhusu njia aliyotumia kumjua mkewe kua ni kicheche,kitu ambacho kimempa funzo la kutomchukulia mkewe alivyokua anamchukulia.
 
Ni kweli hana mume mwanaume kamili hawezi kutumia tiktok labda kama una share na mke wako lipstick
Kwa nn mwanaume hawezi tumia tiktok ufafanuzi tafadhari maana nataka nikajiunge
 
hahhahaha aise ndo wasaidiz wetu sasa tufanyaje 😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kudadeki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaelekea hamna ushirikiano kimapenzi, kama unachomwambia kupitia mtandao kinamvutia, kwa nini usikifanye mkiwa kama mke na mume?
 
uzuri alikuwa anajua ni wewe ndio unamtongoza naye akakujoki
 
Mkuu kama vip muoe tuu maana kama kakuelewa hamna namna.
Dah majaribu sana pia yataka moyo.
Mwenyezi Mungu atupe mioyo thabiti na kuyashinda yote majaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…