Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Habari yako ndugu yangu, naweza kufahamu umri wako na jinsia yako tafadhali?
 
Kua tu na account TikTok, janga tayari. Kwa wote wawili.
 
daaaah pole sana inaskitsha sana
ila na wewe bado tu upo nae unacheka nae yan alaf anakufanyia mamb meus au na wewe n mmoja wa mamb hayo una wanawake pemben mana ndege wanaofanana huruka pamoja na unaonekana kama hauna was aisee ila kiufup hamna mapenz hapo mkeo n mke wa mtu so kjana komaaa ila n vema kuacha kukagua sm yake japokua haiwezekan kama umezoea ila kwa hapo omba ukutane nae umuaibishe bila kufanya lolote labda kumpiga hv mana ukmpga kosa sio lake n lako tena mana hao watu mmmmmhhhhh kila hak ipo juu yao alaf washenz
 
Sasa chukua na watoto wake uliozaa nae ukawapime DNA ili sasa uchunguzi ukamilike rasmi, baada ya majibu ya DNA ndiyo utamjua mke wako vizuri!!
 
Dah hawa viumbe kazi kweli kweli... Mungu akikujalia wtt wekeza kwa wanao. Kuna mmoja kafunguliwa saluni ya kike ya kama mil 20. Bado na kodi analipiwa pia na mumewe, usafiri kanunuliwa ila bado analiwa. Kimsingi hawaridhiki unachopunguza namba watakaomla.
 
Ujinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
hata mi nashangaa halafu wanamtukana hata mimi ilishawahi kunitokea mi hakuwa mke alikuwa mpenzi wangu nilijifanya nimekosea namba huwezi amini alinikubali bila hat kunijua Kwa sura na akasema Yuko tayari kuolewa ni mimi tu kama tukionana nikampenda nilimuita sana maana nilichart nae mwezi mzm asubuhi mapema sana naamushwa na sms nzuri ila mimi halisi Hana time wakati nilikuwa namtake care sana nilimuita sana tulishaachana..
 
Fungua account mpya hapa hapa jf nijaribu mimi tuone kama wanawake wote tuna udhaifu.

Na kitu tutakacho kiongea huko pm kilete hapa uwanjani.

Sijawahi shawishiwa na mwanaume kwa njia yeyote nikatoka kwenye mstari.

Mimi sinaga chenga niko direct.

Mwanaume yeyote atakae soma hapa anaruhusiwa kunijaribu kwa account feki na majibu ayatundike hapa.
 
da ulivofika home ukamtunuku kabsa jamaa alichukua point 3 mapema
 
Unaona sasa,ungemuoa ingekula kwako,inamaana tafsiri yake,hakua nawewe,ungepata tabu sana.
 
Mkuu hapo sijamfumania nimemtongoza tu
kwaiyo huwez muacha mtu kisa kakubali au katongozeka
 
Ukimlia hela zake je??
 
Hii chai haina hata tangawizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…