Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #201
AmenMkuu kama vip muoe tuu maana kama kakuelewa hamna namna.
Dah majaribu sana pia yataka moyo.
Mwenyezi Mungu atupe mioyo thabiti na kuyashinda yote majaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMkuu kama vip muoe tuu maana kama kakuelewa hamna namna.
Dah majaribu sana pia yataka moyo.
Mwenyezi Mungu atupe mioyo thabiti na kuyashinda yote majaribu
Acheni kutafuta magonjwa ya moyo.Muombe mkaonjane, trick atakayokuagia ndio ujue anatafunika kila mara
daaaah pole sana inaskitsha sanaAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asili
Sasa chukua na watoto wake uliozaa nae ukawapime DNA ili sasa uchunguzi ukamilike rasmi, baada ya majibu ya DNA ndiyo utamjua mke wako vizuri!!Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
mkuu punguza ukalo wa manenoWewe ndiye mshenzi, mpumbavu na limbukeni wa kutupwa. Unaanza kumjaribu mkeo namna hiyo? Acha ushamba. Ipo siku nawe utato gozwa
hata mi nashangaa halafu wanamtukana hata mimi ilishawahi kunitokea mi hakuwa mke alikuwa mpenzi wangu nilijifanya nimekosea namba huwezi amini alinikubali bila hat kunijua Kwa sura na akasema Yuko tayari kuolewa ni mimi tu kama tukionana nikampenda nilimuita sana maana nilichart nae mwezi mzm asubuhi mapema sana naamushwa na sms nzuri ila mimi halisi Hana time wakati nilikuwa namtake care sana nilimuita sana tulishaachana..Ujinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
Mkuu umempiga na silaha nzito sana😂😂😂Ni kweli hana mume mwanaume kamili hawezi kutumia tiktok labda kama una share na mke wako lipstick
Fungua account mpya hapa hapa jf nijaribu mimi tuone kama wanawake wote tuna udhaifu.Oya hawa wanawake jau sanaa huo mchezo mi nishawah fanya kwa wanawake tano na wote wakakubali
Kitu nilichokuja kugundua kwamba mwanamke bhana ndo walivyo yana wana uzaifu mkubwa sana tena sana tena narudia wnawake wa udhaifu mkubwa sana tena wote duniani
Yan hio kitu huwez kuibadilisha kwa mwanamke ndo walivyo na ukisema uchukulie serious kila siku utakuwa unabadilisha wanawake kwasbb huwezi badilish huo mfumo wao
Kitu kikubwa ni wew kuacha tu huo mchezo sababu utakuwa unajiumiza tu wew bila sababu
Itoshe kusema wanawke hawariziki na ndo maana mimi nawachukia sana hawa viumbe na nikiwapata nasmash kabisa bila huruma
da ulivofika home ukamtunuku kabsa jamaa alichukua point 3 mapemakabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",
nkasema moyoni, kweli nina mume[emoji23]
Unaona sasa,ungemuoa ingekula kwako,inamaana tafsiri yake,hakua nawewe,ungepata tabu sana.hata mi nashangaa halafu wanamtukana hata mimi ilishawahi kunitokea mi hakuwa mke alikuwa mpenzi wangu nilijifanya nimekosea namba huwezi amini alinikubali bila hat kunijua Kwa sura na akasema Yuko tayari kuolewa ni mimi tu kama tukionana nikampenda nilimuita sana maana nilichart nae mwezi mzm asubuhi mapema sana naamushwa na sms nzuri ila mimi halisi Hana time wakati nilikuwa namtake care sana nilimuita sana tulishaachana..
Mkuu hapo sijamfumania nimemtongoza tudaaaah pole sana inaskitsha sana
ila na wewe bado tu upo nae unacheka nae yan alaf anakufanyia mamb meus au na wewe n mmoja wa mamb hayo una wanawake pemben mana ndege wanaofanana huruka pamoja na unaonekana kama hauna was aisee ila kiufup hamna mapenz hapo mkeo n mke wa mtu so kjana komaaa ila n vema kuacha kukagua sm yake japokua haiwezekan kama umezoea ila kwa hapo omba ukutane nae umuaibishe bila kufanya lolote labda kumpiga hv mana ukmpga kosa sio lake n lako tena mana hao watu mmmmmhhhhh kila hak ipo juu yao alaf washenz
😔Unaona sasa,ungemuoa ingekula kwako,inamaana tafsiri yake,hakua nawewe,ungepata tabu sana.
Ukimlia hela zake je??Fungua account mpya hapa hapa jf nijaribu mimi tuone kama wanawake wote tuna udhaifu.
Na kitu tutakacho kiongea huko pm kilete hapa uwanjani.
Sijawahi shawishiwa na mwanaume kwa njia yeyote nikatoka kwenye mstari.
Mimi sinaga chenga niko direct.
Mwanaume yeyote atakae soma hapa anaruhusiwa kunijaribu kwa account feki na majibu ayatundike hapa.
Hii chai haina hata tangawiziAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Mimi au?Acheni kutafuta magonjwa ya moyo.
Ongeza mkuu kama unaona ni chaiHii chai haina hata tangawizi