Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

weka jina lake analotumia tiktok nasisi tujiridhishe
 
Signature yako ikusaidie.
Mnaonaga raha kushauri watu, sasa hapa sijui unastay positive kiaje.
 
Sasa akuuliza namba yake umeipataje?
 
Sasa akuuliza namba yake umeipataje?
si ukinunua kitu kikubwa mf sofaset or anything but iliisha wanasema itacome siku flani , so kuna docs tuliandikiwa na akajaza info zake ili hio kitu ikifika wamcontact wafanye delivery, and he did that na aliacha contacts zake ili apigiw ndo nlivomjibu nmetoa kwa ile document, nlikua namzoom yule dem anavomuongelesha kiromantic, so nkajiongeza wacha tamjaribu[emoji3] cas alikua anaongea vzuri na yule dem wa customer care hadi nkaona wivu asije kua anawakula, ndo nkatafta cm card ingine nimtest, but kumbe ye si muhuni ivo nlivodhani[emoji16]
 
Ulichokuwa unakitafuta umekipata.
 
Mkiambiwa msioe hivi huwa mnahisi tunawaonea wivu au????shauri yenu..
 
Walahi nmechekaaa aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hapo sijamfumania nimemtongoza tu
kwaiyo huwez muacha mtu kisa kakubali au katongozeka
kwaio we uon kuna possibilities nyingi ya wewe sku kumfumania au huoni
ila mmmhhhhh sawa komaaaa nae kama injili ila jua hamna kitu utakuja kuchapwa sku ulielie
 
Umeoa malaya pole mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…