Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #221
😳Mimi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳Mimi au?
weka jina lake analotumia tiktok nasisi tujiridhisheAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Sasa akuuliza namba yake umeipataje?kabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",
nkasema moyoni, kweli nina mume![]()
NAKAZIAMuombe mkaonjane, trick atakayokuagia ndio ujue anatafunika kila mara
si ukinunua kitu kikubwa mf sofaset or anything but iliisha wanasema itacome siku flani , so kuna docs tuliandikiwa na akajaza info zake ili hio kitu ikifika wamcontact wafanye delivery, and he did that na aliacha contacts zake ili apigiw ndo nlivomjibu nmetoa kwa ile document, nlikua namzoom yule dem anavomuongelesha kiromantic, so nkajiongeza wacha tamjaribu[emoji3] cas alikua anaongea vzuri na yule dem wa customer care hadi nkaona wivu asije kua anawakula, ndo nkatafta cm card ingine nimtest, but kumbe ye si muhuni ivo nlivodhani[emoji16]Sasa akuuliza namba yake umeipataje?
Ulichokuwa unakitafuta umekipata.Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Si kwanza apate hata bahati ya kupata no yangu, hela zangu za kula ninazo zake za kazi gani?Ukimlia hela zake je??
Walahi nmechekaaa aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
kwaio we uon kuna possibilities nyingi ya wewe sku kumfumania au huoniMkuu hapo sijamfumania nimemtongoza tu
kwaiyo huwez muacha mtu kisa kakubali au katongozeka
Fungua code. Trick atakayotumia kumuaga mwamba, ndo kama alishawahi kuitumia kumuaga hivyo ajue kumbe analiwaga tuu sema jamaa hajamkamataMuombe mkaonjane, trick atakayokuagia ndio ujue anatafunika kila mara
Umeoa malaya pole mkuuuAisee hawa wanawake ni hatari.