Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Mkeo sio Malaya....Wala usimfikirie hivo.


Wewe ni Moja ya kundi letu wanaume ambao Huwa tuna lugha nzuri sana ya kutongoza.

Yaan unaweza mfanya Demu akajiona mpya Kila siku Kwa sababu Kila siku una mtongozo mpya mpya.


Hivo usimjaribu.
Aah hii kaka imeshiba
 
Pia kama umeoa mwanamke na kuanzia kula yake mpaka kazi au biashara ni wewe hapo.

Piga marufuku uwepo wake kwenye mitandao ya kijami.


Kwa sababu huko ndiko anaonana na washikaji wa shule ya msingi...Sekondari, chuo
Aisee mitandaoni hayupo isipokua tiktok yaan huyu mwanamke tiktok mnaweza kugombana
 
Kuna issue hapa. Wazinzi wote wanamtukana jamaa eti amefanya ujinga. Trust me. Hawa wote wanaotukana kuwa jamaa kafanya ujinga ni waasherati wakubwa wanaogopa kuwa ujanja wa jamaa ukitumiwa na wenza wao basi watakamatika kirahisi sana.
😁😁😁 wanatumia mbinu ya kumu-attack... jamaa,ajione kafanya makosa....
 
Inaonekana hupigi kazi yakutosha..kaamua kujaribu game za ugenini
 
Ukiona mke wako ana mtindo wa kupost vi video clips anabinua binua vimidomo na kitako ujue umeoa danga bado linatafuta mabwana.
Na ukiona mkeo huwa ana ombaomba na kutolea macho hela ndogo ndogo na akisikia hela kubwa anapagawa ujue huyo kuwa mwaminifu labda akiwa mochwari
 
[emoji23] Wanawake watakwambia wanaume mnacheat mno, ila ukweli ni kwamba wao huwa na watalaam wa kuficha cheating kuliko sisi ila wanacheat sana tu.
 
khatari sana hiyo kwake na kwako ikibainika
 
Nawaasa enyi wanawake wa JF na wanaume wote. Katu tena katua, usimjaribu mwenza wako kwa sababu utakuwa unafanya kosa la kiufundi
 


Huu ni mwandiko wa bachelor moumbavu, hatuna wajinga kwenye kambi ya ndoa wa kiwango hichi chako.
 
Mwanamke hachunguziki,huwa wana mapenzi ya "laivu laivu"ambapo ni mumewe/mpenziwe na njemba kama 2 au3 za kumkaanga na kulipa some bills na waume wengne ni wa mtandaoni ambao hao ni changamsha genge na dirty charts!...faith is just a myth,kataa ndoa wasipuuzwe jumla,wana hoja!
 
Asilimia 90 per cent.

Sawa mkuu. Tunaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…