Nimemtukana Baba Mkwe kimakosa: Natamani kukimbia mkoa, nimechanganyikiwa

Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi.

Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda.

Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya kipaimara ya mjukuu wake. Kwa kweli amejua kufukia msosi, kaaah!! Amebugia mawali mpaka nikakimbia chumbani kujificha kwa muda nikawa namchungulia kwenye pazia!

Alipomaliza kula, akatuaga akaondoka. Baada ya masaa kadhaa, nikamuandikia ujumbe kumjulia hali yake ya safari!! LA HAULAAAH! Najutraaa!

Meseji ilipoenda, nikaona anapiga simu na kukata, nikajiuliza, Baba mkwe weraaah ayuuu!

Nikafungua meseji niliyomtumia kuhakikisha kama imefika, tobaaa weeee!!! Kumbe nimeandika madudu matupu, sijui nilikuwa nimelewa soda ya kipaimara komwe miee!

Meseji niliyoituma inasema "Baba Mkwe umefiRa salama?", badala ya Baba Mkwe UmefiKa salama?

Nimeizima simu ghafla, nikachukua panado nikameza, nikapiga goti nikasali rozari takatifu!

Naombeni mnifariji, sijui nifanye nini hapa! Msaada tafadhali, nimeyavaa, nimeyabananga!

Komwe limenishuka shuuuuu!
Unapenda sana contents zinazo husiana na kinyume na maumbile!
Kuna mawili inawezekana wewe ni muumini wa haya mambo au una shida ya kisaikolojia!

Mkuu!
 
Kama mjeshi kweli na ananyota za kutosha hawezi maindi lolote ila ataanza kuwa na mashaka mwanae hua unamfira. Kwasababu neno wakati wakuandika sms likiwa linajitokeza hua linaandikwa sana

Sasa andika upya ,jifaye unauliza sms imefika ? Nilikuuliza kama umefika salama
 
Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi.

Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda.

Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya kipaimara ya mjukuu wake. Kwa kweli amejua kufukia msosi, kaaah!! Amebugia mawali mpaka nikakimbia chumbani kujificha kwa muda nikawa namchungulia kwenye pazia!

Alipomaliza kula, akatuaga akaondoka. Baada ya masaa kadhaa, nikamuandikia ujumbe kumjulia hali yake ya safari!! LA HAULAAAH! Najutraaa!

Meseji ilipoenda, nikaona anapiga simu na kukata, nikajiuliza, Baba mkwe weraaah ayuuu!

Nikafungua meseji niliyomtumia kuhakikisha kama imefika, tobaaa weeee!!! Kumbe nimeandika madudu matupu, sijui nilikuwa nimelewa soda ya kipaimara komwe miee!

Meseji niliyoituma inasema "Baba Mkwe umefiRa salama?", badala ya Baba Mkwe UmefiKa salama?

Nimeizima simu ghafla, nikachukua panado nikameza, nikapiga goti nikasali rozari takatifu!

Naombeni mnifariji, sijui nifanye nini hapa! Msaada tafadhali, nimeyavaa, nimeyabananga!

Komwe limenishuka shuuuuu!
Pole sana rafiki

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kama mjeshi kweli na ananyota za kutosha hawezi maindi lolote ila ataanza kuwa na mashaka mwanae hua unamfira. Kwasababu neno wakati wakuandika sms likiwa linajitokeza hua linaandikwa sana

Sasa andika upya ,jifaye unauliza sms imefika ? Nilikuuliza kama umefika salama
Sawa masawe.
 
Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi.

Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda.

Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya kipaimara ya mjukuu wake. Kwa kweli amejua kufukia msosi, kaaah!! Amebugia mawali mpaka nikakimbia chumbani kujificha kwa muda nikawa namchungulia kwenye pazia!

Alipomaliza kula, akatuaga akaondoka. Baada ya masaa kadhaa, nikamuandikia ujumbe kumjulia hali yake ya safari!! LA HAULAAAH! Najutraaa!

Meseji ilipoenda, nikaona anapiga simu na kukata, nikajiuliza, Baba mkwe weraaah ayuuu!

Nikafungua meseji niliyomtumia kuhakikisha kama imefika, tobaaa weeee!!! Kumbe nimeandika madudu matupu, sijui nilikuwa nimelewa soda ya kipaimara komwe miee!

Meseji niliyoituma inasema "Baba Mkwe umefiRa salama?", badala ya Baba Mkwe UmefiKa salama?

Nimeizima simu ghafla, nikachukua panado nikameza, nikapiga goti nikasali rozari takatifu!

Naombeni mnifariji, sijui nifanye nini hapa! Msaada tafadhali, nimeyavaa, nimeyabananga!

Komwe limenishuka shuuuuu!

Utakuwa mfiraji[emoji200]
 
ungempigia na kumuomba radhi
 
Hata hivi kiujumla humheshimu na humpendi huyo mkweo. Eti "Amebugia miwali mpaka nikakimbia ......"
 
Hata Babamkwe naye kasoma "umefika" sasa ww hours yako ni nini?
 
Back
Top Bottom