Nimemuacha mkurya rasmi

Nimemuacha mkurya rasmi

Mmmmmmh! Hayaaaaaaa!

There is no perfect man, you just take a pretty much average Joe in everything, and MOULD him to anything close to your dreams!

Unless iwe na nyota kali kama mimi kiokota fuko la mihela kwenye maandamano! Piko wa moyo wangu(Hili neno credits kwa Super Model Belinda Mgeni na baby dady wake Msambaa mwenye mahela na binti yao cheupe dawa!) Matola, im missing you every second!

Matola must be a very happy man indeed! Hongera Matola
 
Makuzi ya binadamu yanachukua mda mregu sana Unaweza kuwa msomi na usijitambue Umuhim wa kutangaziwa kuachana unatoka wapi kama wakati Mnaanza Mahusiano hukuutangazia ulimwengu kuwa Umempata wa Ubani Wako Kabila glani?
 
Wakuu wangu shikamooni,

Kitambo sijakuja humu lakini shule ilibana na nilikuwa nimechange life style kidogo

Nimemuacha yule mkurya wangu leo rasmi coz nahisi nina matatizo kila wakati analalamika sitekelezi vile anapenda na nimeona nisimpotezee muda bado sihitaji kuwa in seriously relationship moyo wangu hauko tayari.

Nahisi mume wangu bado sijamuona, bado hajazaliwa musinichoshe niacheni nisome au niwamention hapa mnielewe?
Am very sory for dat

Kapoteza umaarufu mjini au imekuwa vipi?
 
Pole sana
 
Wanaume toka kanda ya ziwa walau naona wamejitahidi ku-maintain ile masculinity. 💪
Hawako tayari kutawaliwa na mwanamke kwa sababu yoyote iwe .
Na hiyo ni kutokana na asili ya uumbaji na vitabu vitakatifu.
Nawaoubali sana wanaume wa kisukuma na kikurya.
Yaani mwanamke jitie wazimu uwezavyo tishia kutaka kuachana na kudai talaka , they don’t care 👌👌👌
Wanajiamini maisha ni lazima yaendelee.
Wanaume wa kihaya sijaweza kupata exposure na kujifunza kuwajua wao wakoje ni wale wa “mama fulani sawa tu” au ni wanaume wanaujua kusema hapana kwenye hili na hili bila kuyumbishwa.

Let’s reimagine masculinity 💪💪
 
Back
Top Bottom