Nimemuajiri mtu ndani ya mwezi 1 kaanza kuniibia

Nimemuajiri mtu ndani ya mwezi 1 kaanza kuniibia

Nimefungua biashara mpya na nimetengeneza ajira kwa mtaaalmu mmoja lakini katika mweiz wa kwanza ananiibia kama tuna hisa naye.Tufanyeje wajasiriamali?
Mfukuze
 
Usikute na wewe mwenyewe ni mtumishi unatuibia madawa yetu hospital unahamishia kwako hio ni laws of nature yetu waswahili wizi unaanzia juu.

Mtawala anaiba anaficha Ulaya baba anaiba ofisin mama anamuibia baba anatuma kwao dada wa kazi nae anakata zake akitumwa dukani anatuma kwao.
 
Anaiba madawa, vifaa au wagonjwa?

Weka system nzuri. Iwe automated.
Watanzania ni wagumu kwel ukianza kuwaletea automation..Wanaona gharama sanaa ila zinasaidia sana.

Kuna jamaa mmoja ana kampuni ya clearing and forwarding alikua na changamoto sana hasa uzembe wa wafanyakaz ofisini ku serve wateja.
Ni hivi, yeye anawateja Drc, zambia, zimbabwe, malawi, mozambique ambapo huwa ana fanya nao kazi.

Sasa tatizo lijaka wafanya kaz wake wavivu kisheniz plus undugu kujuana kazin ikawa inachukua mlolongo sana ku serve wateja mpaka wengine wakawa wanamuoa jamaa hayuko serious na biashara na vile kujuana tu na mwenye boss ndio kinawafanya wateja waendelee kuleta kaz ofisin ila operations hovyo sana.

Mteja toka hizo nchi, akitaka gari yake iwe cleared port Dsm atatakiwa kuwa na official agreement (mkataba).
Sasa ile hustle ya kuandaa mkataba , wausaini huku kisha wamtumie mteja a print na yeye aweke particular zake na asign kisha na yeye autume tena ikaonekana kero plus time consuming plus matumiz makubwa ya resources kama karatas na wino wa printer/scanner.

Kwa bahat mbaya au nzuri akakutanishwa na mimi akanielezea hiyo hustle na vile watendaji wake wanamuangusha, nikasema usijali hilo hesabu limeisha..Nikasema nipe masaa ma 3 nifikiri nini naweza fanya kisha nitumie sample ya contracts.

Within 5 hours baada ya kufikiri vizur Nika design software ambayo ika automate hiyo process nzima kias kwamba hakuna mfanya kazi aliyetakiwa kuhusika hapo tena.

Nikaifanya hivi,
1. Order ikifika ofisin, secretary anai register na kuweka email ya mteja na akii save tu au automatic inatuma email kwa mteja yenye link
2. Mteja akiifungua link anakutana na form ya kujaza particular zake kisha akii save tu inarudisha email instantly ofisin
3. Ofisin boss / admin akii approve tu hiyo response ya mteja automatically ina generate contract na kutuma kwa mteja ikiwa na signature na stamp.

Huwa haamini mpaka leo kwamba tatizo lake likaisha within 8 hours toka akutane na mimi
 
Usikute na wewe mwenyewe ni mtumishi unatuibia madawa yetu hospital unahamishia kwako hio ni laws of nature yetu waswahili wizi unaanzia juu.
Mtawala anaiba anaficha Ulaya baba anaiba ofisin mama anamuibia baba anatuma kwao dada wa kazi nae anakata zake akitumwa dukani anatuma kwao.
Kama kuna kaukwel hapa 😂😂
 
🤣🤣
 
Back
Top Bottom