kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,216
- 1,062
Online system ni nzuri zaidi kwakua inakupa fursa ya ku take advantage juu ya mambo mengine mengi ambayo sio lazima wewe ufanye ila syatem itafanya badala yako mfano.
1.unaweza kuwa na option ya kuchukua namba ya simu ya kila mteja wako kisha kuitunza kwenye database yako ili Kila una upload stock mpya, system iwe na uwezo AUTOMATICALLY wa kuwa notify wateja wako kwa SMS kuu ya mali mpya iliyoingia.
Kuwajuza kwa SMS juu ya mapunguzo ya bei au offer.. kuwajuza kuhusu mambo mengine like wishing them holliday greetings mfano "happy new year" ili ku add value kwa mteja ajione wa thaman na kwamba sio tu unataka pesa yake but unamthamin pia na kumkumbuka pia.
Hii ni njia moja wapo ya kum binafsisha mteja kwa kumtengeneza awe loyal na wako peke yako asiwaze provider wngine..
Hii ni ni faida moja wapo katika business perspective..
Nitakutafuta mkuu tufanye kazi