Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Topaz nayo ni bidhaa jamani kama bidhaa zingine[emoji23][emoji23][emoji23] au kwenye ndoa kichwa kinakuwa jabali?

Ili kesho na kesho kutwa mkichepuka mseme nilichepuka mke wangu hanivutiii bichwa lake kama langu[emoji28][emoji28][emoji28]watoto wa mama mkwe hamna jema [emoji28]
 
Umekosea sana mkuu. Ulitakiwa kumsifia tu non stop. Muambie huu msuko nimeona mtu kafanya ofisini, yaanj amekuwa kama school girl. Hebu kasuke uje unifurahishe mumeo. Na akisuka msifie yaani kutwa mara tatu. Utashangaa aisee. Mmeambiwa mtumie akili, mnatumia ubabe!
Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.

Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style fulani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.

Mpaka sasa kaninunia ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.

Asanteni

View attachment 2044854

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ili kesho na kesho kutwa mkichepuka mseme nilichepuka mke wangu hanivutiii bichwa lake kama langu[emoji28][emoji28][emoji28]watoto wa mama mkwe hamna jema [emoji28]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.

Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style fulani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.

Mpaka sasa kaninunia ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.

Asanteni

View attachment 2044854
Wew bando kwa mwezi unatumia shilingi ngapi?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Ahaaa hapo kwenye "shughuli maalum" nimekusoma, ila nasikia kucha ndefu hizo ukitembezewa mwilini haswa kwenye two balls ni raha sana!![emoji23][emoji23]

Yatakiwa ziwe zako za kubandika hazina msisimko kivile japo zasisimua
 
Hiyo twende kilioni ni buku mbili,shida ya hizi familia ni kupata mtu atakaye kuelewa nywele za miaka kumi unashindwa kuziundia staili mbalimbali ambazo hazitumii gharama?

Binafsi nywele ya mkono siwezi kuisuka nkatembea nayo naona kama kichwa sio changu tena
We ndie unaendana na mshkaji, bora mlianzishe tu!!
 
Back
Top Bottom