Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Money hua ina principle kuwa ni lazima itumike...kama wew huitumii pesa yake....basi kuna mtu anaitumia....kuna wachungaji...waganga....ndugu zake na marafiki kazini
 
Asa kama mtu hela yake haijulikan inaenda wap ni bora akae ndan tu...ili ujue ni jukum lako
 
Ayo ni mambo yenu binafsi na sijaona haja ya kuja hapa kuyaanika
Kwa huu ujinga ulio ufanya ku ingne ukianzisha uzi ama ukichangia uzi jua kua mtu atakukumbusha ujinga wako maana humu watu hawasahau nai wazuri wakutunza kumbukumbu

Sasa unataka ushauri je tukikushauri umuache maana km ni mke mwema hawezi shindwa kmsaidia mumewe , uyo ni malaya na izo pesa huwa anawaonga mabwana zake sio ww
 
Nyie ni wanaume WAPUMBAVU SANA, MARA NYINGI SANA NIMEWAAMBIA ACHENI KUOA MWANAMKE MWENYE AJIRA ETI MTASAIDIANA MAISHA. Wanawake ni wabinafsi sana na akiwa na ajira jeuri ju hapo na kutomba ni nje nje akijiamulia anavya chupi
 
Ndo tatizo la kuoa mke wa watu. Acha ale bata na mpenzi wake.
 
Jenga hoja
 
Bora yupo na mashosti wake, tuamini hivyo tu.....mwingine anakunyima ili akatumie na mume mwenzako anayemla wife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…