balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Faiza FoxyKatika tembea yangu kwenye majukwaa mengi Jf, moyo wangu umempenda mdada mrembo asili yake ni Tanga, lakini kwasasa hayupo Tanga.
yupo active sana kwenye kila Uzi hasa Jukwaa hili nazani ushejijua.
Moyo wangu unateseka Juu yako hasa nikitizama Picha yako. Unaonekana ni mdada unaejieshimu, hijabu haikutoki kichwani, nywele zako hutaki zionekane, nakupenda sana..........hasa nikilitizama tabasamu lako nazidi kuzuzuka.
Plz naelekea kuwa kichaa mwenzako juu yako....
Dogo acha kuharibu hujatumwa kumwambia hivyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nenda ukale koni
Hahaha mbwangeNi mtu makini . Hanaga uswahili au wewe unamuonaje?
You cant judge her even from her writtings?
Hata sio mimi jamani unataka urudi kule kule eehKama ni wewe ujue moja
Achana na madogo hao wanakuzinguaMimi??? Hata sina hilo wazo wala ari
Huwezi jua labda zali limekuangukiaHata sio mimi jamani unataka urudi kule kule eeh
Mimi ni mtu mzima na mvi zanguAchana na madogo hao wanakuzingua
Mimi naelewa hakuna aliye serious hata mmoja hapa .[emoji23][emoji23][emoji23]Achana na madogo hao wanakuzingua
HaiwezekaniHuwezi jua labda zali limekuangukia
Asante[emoji120]Poa poa, ila your advises have caught my attention.
Nitajitahidi kukuona ukiendelea kutoa the same bila kubagua.
Keep it going mam.
Kwann mtoane rohoo?au huyo anayesemwa ni wako?Kwakweli tutatoana roho humu siku sio nyingi
Ivuga yupo seriuosMimi naelewa hakuna aliye serious hata mmoja hapa .[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja mwenye uzi aje alipue bomuHaiwezekani
Naona kijana amenza kutamani mali za watu sasa...Kwann mtoane rohoo?au huyo anayesemwa ni wako?
Ngoja nimpigie video call whatsappIvuga yupo seriuos
My inna umerudi. Nenda kapikeKwann mtoane rohoo?au huyo anayesemwa ni wako?
Fanya hvyo mbwangeNgoja nimpigie video call whatsapp
Shikamoo babuMimi ni mtu mzima na mvi zangu
Hapana jomon huyu ni wangu nmemruhusu ku flirt tu hapa hayupo serious kabsaIvuga yupo seriuos
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhaniIvuga yupo seriuos