Naona ameamua kuja kwa ID mpya ili arushe ndoana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana mleta uzi keshakuwa kichaa maana alisema pale mwishoni anaelekea kuwa kichaa
Huyu kama hamzungumzii emmyta sijui
We una utani na mimi jombaa mi sio mwanamke arifuNiliposoma uzi nikafikiri kama wewe
Ndio mbinu za siku hizi mkuu humu JF1. Anaweza kuwa ni mtu ambaye mnafahamiana vizuri kwa ID yake ya nyuma akafanya kukujaribu;
2. Anaweza akawa ni mtu ambaye ana mtu humu na ID hiyo inajulikana kwamba ana mtu, so anafungua mpya ili aitumie kwa kazi hiyo;
3. Anaweza kuwa ni mchumba/boyfriend wako ambaye mapenzi yake na yako yameanzia JF, so anafungua ID nyingine kutaka kujihakikishia kwamba hutongozeki na wana JF wengine kama yeye alivyokupata, hii inataka kufanana na ya 1 juu
n.k
Sorry bros nimekuelewa [emoji120] [emoji120]Niliposoma uzi nikafikiri kama wewe
Kitumbua wwDogo kiazi huyo
Nenda kanyonye koni hukoWewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Unaona aibu amaHata sina muda wa kwenda[emoji23] [emoji23][emoji23]
We nae naona unanyemelea kianaPoa poa, ila your advises have caught my attention.
Nitajitahidi kukuona ukiendelea kutoa the same bila kubagua.
Keep it going mam.
Nikupitie twendeMimi??? Hata sina hilo wazo wala ari
Ivuga unamjua lakin? Utaona Masikhara kumbe ndio anakumaliza hivyoMimi naelewa hakuna aliye serious hata mmoja hapa .[emoji23][emoji23][emoji23]
Anataka papaNjoo ule ugali mlenda tayar
Nimekupa inna mchukue umlee ana mimba yangu kubwa.
Kwani kasema hatanipa?Anataka papa
Dogo acha kumuogopesha MadamIvuga unamjua lakin? Utaona Masikhara kumbe ndio anakumaliza hivyo