Nimemuona kipendacho roho JF

Nimemuona kipendacho roho JF

193ccf54daa9a1dd30ff2a1e637116c7.jpg
Naona ameamua kuja kwa ID mpya ili arushe ndoana
 
1. Anaweza kuwa ni mtu ambaye mnafahamiana vizuri kwa ID yake ya nyuma akafanya kukujaribu;
2. Anaweza akawa ni mtu ambaye ana mtu humu na ID hiyo inajulikana kwamba ana mtu, so anafungua mpya ili aitumie kwa kazi hiyo;
3. Anaweza kuwa ni mchumba/boyfriend wako ambaye mapenzi yake na yako yameanzia JF, so anafungua ID nyingine kutaka kujihakikishia kwamba hutongozeki na wana JF wengine kama yeye alivyokupata, hii inataka kufanana na ya 1 juu

n.k
Ndio mbinu za siku hizi mkuu humu JF
 
Back
Top Bottom