Nimemuona kipendacho roho JF

Huyu kama hamzungumzii emmyta sijui


Ndio jamaa anamzungumzia emmyta

Niliposoma uzi nikafikiri kama wewe

Mafarisayo waka
ulizana. Atakuwa emmyta nini?
Ndipo bwana yesu akawaambia.......

Cc Emmyta

Shostiiiii njoo uone watu wamekuzimikia huku,ila shemeji asijue tuu maana....

Dada yangu emmyta ukimaliza majukumu ya ujenzi wa nchi ya Viwanda, pitia hapa uchangamshe genge pia.
Mmh. Nyie sio mimi. Mie Mmasai mjue sio Mtanga.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…