Ngoja ajaribu bahati yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] hivi kumbe mimi ndie ninayeongelewa??? Asante kwa kumwambia na maelezo ya ziada [emoji120] [emoji120]
Namjuaa vzriiiiUmejuaje kana mke wa mtu.? Ngoja aje........
Refer alicho kiandika Huko juu. Alafu ndio nn kuondoka Asubukhi yote ile bila kunipa cha Asubukhi?Umejuajee?
Kama ni mi ndio ananikusudia maana sjaona mahali ametaja mtu basi haitawezekana na nashukuru kujua ananipendaNgoja ajaribu bahati yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkubalie tu, acha kumpa kijana wa watu mawazoKama ni mi ndio ananikusudia maana sjaona mahali ametaja mtu basi haitawezekana na nashukuru kujua ananipenda
Am sorry, siwezi kufanya hivyo kwani tayari nina mtu na alhamdulillah nimeridhika sioni sababu ya kufanya hivoMkubalie tu, acha kumpa kijana wa watu mawazo
kumbe ni wewe maana kasema amevaa hijabu[emoji23][emoji23][emoji23] jamani mapenzi ni kama maua huota popote
Mtafutie basi kama ww ili roho yake ilidhikeAm sorry, siwezi kufanya hivyo kwani tayari nina mtu na alhamdulillah nimeridhika sioni sababu ya kufanya hivo
Katika tembea yangu kwenye majukwaa mengi Jf, moyo wangu umempenda mdada mrembo asili yake ni Tanga, lakini kwasasa hayupo Tanga.
yupo active sana kwenye kila Uzi hasa Jukwaa hili nazani ushejijua.
Moyo wangu unateseka Juu yako hasa nikitizama Picha yako. Unaonekana ni mdada unaejieshimu, hijabu haikutoki kichwani, nywele zako hutaki zionekane, nakupenda sana..........hasa nikilitizama tabasamu lako nazidi kuzuzuka.
Plz naelekea kuwa kichaa mwenzako juu yako....
Kwan huyo tabasam linaonekana?Refer alicho kiandika Huko juu. Alafu ndio nn kuondoka Asubukhi yote ile bila kunipa cha Asubukhi?
Mimi sidhani kama nasemewa mm hapa ameona wapi hilo tabasam avatar yangu haioneshi kama natabasamkumbe ni wewe maana kasema amevaa hijabu
Huoni ama usha fanywa kitu mbaya tayariKwan huyo tabasam linaonekana?
sasa siulisema mapenzi nimajani mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] hivi kumbe mimi ndie ninayeongelewa??? Asante kwa kumwambia na maelezo ya ziada [emoji120] [emoji120]
Ooh siwezi, yani siwezi kabisa atapata tu wa kuendana naye awe mvumilivu kweli kweliMtafutie basi kama ww ili roho yake ilidhike
tabasamu ya kwenye maandishi sio mdomoni na hijabu si umeweka pichaMimi sidhani kama nasemewa mm hapa ameona wapi hilo tabasam avatar yangu haioneshi kama natabasam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tabasamu ya kwenye maandishi sio mdomoni na hijabu si umeweka picha
Unajipigia debeYule ni mke wa mtu shaur yako