[emoji23][emoji23] umenikazania sana jamani kwan me peke yangu ndio nimeweka avatar ya hijjab humu??? Tupo wengi sana na nina hakika sio mimi,Acha kukwepa
We jikute huelewi nn Mapenzi.Ha ha ha ha hata sifanyi mzaha niko serious kabisa, na haiwezekani
dah umeniangusha sikutegemeaHaiwezekani jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bahati mbaya hua hana haya mamboAnamanisha huenda ni mumeo anakuchora tu
Oh jamani [emoji23] [emoji23]We jikute huelewi nn Mapenzi.
Kukuangusha aje??dah umeniangusha sikutegemea
Alafu leo ukichelewa kurudi sikufungulii mlango, utalala ulikokuwaLabda ww ndo huoniiiii
Hiv hapo unapo kaa kuna wazuri kama ww[emoji23][emoji23] umenikazania sana jamani kwan me peke yangu ndio nimeweka avatar ya hijjab humu??? Tupo wengi sana na nina hakika sio mimi,
si hutaki kumpokea, mpokee halafu tumsikie atasemajeKukuangusha aje??
[emoji23] [emoji23] haya nayo yametoka wapi?? Wapo wazuri wengi tuHiv hapo unapo kaa kuna wazuri kama ww
Ukimaanisha nini??
Mimi siko single nina mtu na siwezi kumpokea kivyovyote vile sababu nishampokea niloyenaye ananitoshasi hutaki kumpokea, mpokee halafu tumsikie atasemaje
[emoji23][emoji23] hebu fanya kuniangalizia[emoji23] [emoji23] haya nayo yametoka wapi?? Wapo wazuri wengi tu
Huyo dogo aliyekukazania anakumendea usishangae akakwambia njoo pm ndo zake hzo namjua[emoji23] [emoji23] haya nayo yametoka wapi?? Wapo wazuri wengi tu
Haya ndo yale majibu ya jamaa aliyokuwa anapewa MLIMANI CITYMimi siko single nina mtu na siwezi kumpokea kivyovyote vile sababu nishampokea niloyenaye ananitosha
Mapenzi uchiz, utamfanya kaka wa watu atembee uchi Kisa wwOh jamani [emoji23] [emoji23]
Kwanza niseme tu sio mimi ninayesemewa hapa1. Anaweza kuwa ni mtu ambaye mnafahamiana vizuri kwa ID yake ya nyuma akafanya kukujaribu;
2. Anaweza akawa ni mtu ambaye ana mtu humu na ID hiyo inajulikana kwamba ana mtu, so anafungua mpya ili aitumie kwa kazi hiyo;
3. Anaweza kuwa ni mchumba/boyfriend wako ambaye mapenzi yake na yako yameanzia JF, so anafungua ID nyingine kutaka kujihakikishia kwamba hutongozeki na wana JF wengine kama yeye alivyokupata, hii inataka kufanana na ya 1 juu
n.k
Si useme tu unamtaka au nmwite ivuga akutongozee[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23] hebu fanya kuniangalizia
Ha ha ha asante kwa kunialert! Na hata sikua nachukulia kama anaweza kua seriousHuyo dogo aliyekukazania anakumendea usishangae akakwambia njoo pm ndo zake hzo namjua