Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Usha haribu ndezi wangu. Lakin hii tabia nimetoa kwa bro Saint IvugaHuyo dogo aliyekukazania anakumendea usishangae akakwambia njoo pm ndo zake hzo namjua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usha haribu ndezi wangu. Lakin hii tabia nimetoa kwa bro Saint IvugaHuyo dogo aliyekukazania anakumendea usishangae akakwambia njoo pm ndo zake hzo namjua
Halafu[emoji23][emoji23] hebu fanya kuniangalizia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya ndo yale majibu ya jamaa aliyokuwa anapewa MLIMANI CITY
Acha kumsikiliza huyo dogo, ni tamaa zimemjaa tuHa ha ha asante kwa kunialert! Na hata sikua nachukulia kama anaweza kua serious
Hatujuani nje ya jf akitembea hivo watakaomshangaa ni hao watakaokua wanamjua na wasielewe kisa ni nnMapenzi uchiz, utamfanya kaka wa watu atembee uchi Kisa ww
Lazima nismkilize ana haki ya kuongea na kusikilizwa piaAcha kumsikiliza huyo dogo, ni tamaa zimemjaa tu
Hahahahaaaa, hiv huwa hutak mm niendelee etiSi useme tu unamtaka au nmwite ivuga akutongozee[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Atakuwa anataja jina lako hapo ndio utaelewa tuHatujuani nje ya jf akitembea hivo watakaomshangaa ni hao watakaokua wanamjua na wasielewe kisa ni nn
Yule uongo ndio anawezaLazima nismkilize ana haki ya kuongea na kusikilizwa pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunichekesha bure saa hizi ha!na neno wakinitaguta nitasema ukweliAtakuwa anataja jina lako hapo ndio utaelewa tu
Umejuaje?Yule uongo ndio anaweza
Kwanza niseme tu sio mimi ninayesemewa hapa
Pili sidhani hata kama niliyenaye anaweza kufanya hii michezo ya kitoto hivi
Namjua sana si shemeji yangu kwa ivuga tuko nae huku. Ila ManFongo alimalizaUmejuaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa nimekuelewa mnooNajua thread haikusemi wewe, mimi nimeongea hivyo baada ya kukumbuka hizo points na mwanzisha thread kasema alikuwa anatumia jina halisi zamani ila ameamua kubadili ID, na ghafla anatega mtu.
"There is always an exception to general rule". Usimwamini mwanaume hata kama ni baba yako.
Oooh sawaNamjua sana si shemeji yangu kwa ivuga tuko nae huku. Ila ManFongo alimaliza
We jikute uelewi kaka wa watu kaoza kwako ata kunyenyuka hawez[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunichekesha bure saa hizi ha!na neno wakinitaguta nitasema ukweli
Kama amekufa ameoza tufanye hima tumzike itakua vizuri zaidiWe jikute uelewi kaka wa watu kaoza kwako ata kunyenyuka hawez
Haha baki na mimi...mumu vpHahahahaaaa, hiv huwa hutak mm niendelee eti