Nimemuona kipendacho roho JF

Kwanza niseme tu sio mimi ninayesemewa hapa
Pili sidhani hata kama niliyenaye anaweza kufanya hii michezo ya kitoto hivi

Najua thread haikusemi wewe, mimi nimeongea hivyo baada ya kukumbuka hizo points na mwanzisha thread kasema alikuwa anatumia jina halisi zamani ila ameamua kubadili ID, na ghafla anatega mtu.

"There is always an exception to general rule". Usimwamini mwanaume hata kama ni baba yako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa nimekuelewa mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…