Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
NifanyejeWe rudi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NifanyejeWe rudi hapa
Jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee uko fasta safari hii tayari mtoto kaisha eleweka mpaka pm kakubali kuja
Hahaha mwandiko wake hauna ukakasiUlijuaje mkuu
Swezi kumtongoza madam hata siku moja.Aisee uko fasta safari hii tayari mtoto kaisha eleweka mpaka pm kakubali kuja
Haha wew tokea asbh unabwabwaja tu mwenzio kaja na kashazama pm ohoooo dogo utaumia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aisee uko fasta safari hii tayari mtoto kaisha eleweka mpaka pm kakubali kuja
Mkuu utafikiri kompyuta ndio inaandikaHahaha mwandiko wake hauna ukakasi
Huko pm najua kinacho fuata ila ni siri yanguJamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asa unaondoka ili iwejeNifanyeje
Hahahahaaaa, Kuna tofauti kubwa kati yetu. Mm ndio kwa najifunza mbinu zakeHaha wew tokea asbh unabwabwaja tu mwenzio kaja na kashazama pm ohoooo dogo utaumia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nacheka kamamjinga hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swezi kumtongoza madam hata siku moja.
Huyu anaheshimika sana hapa JF , nawashangaa nyinyi mnamsumbua sumbua.
Huku pm namuelekeza kwangu ananiletea keki bd yangu ilikuwa last week
Ukimaanisha nini?Hahaha mwandiko wake hauna ukakasi
HahahahahananhaHaha wew tokea asbh unabwabwaja tu mwenzio kaja na kashazama pm ohoooo dogo utaumia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mkuu utafikiri kompyuta ndio inaandika
Sasa pm ni btn watu wawili wewe unajuaje tena???? Hebu bwanaHuko pm najua kinacho fuata ila ni siri yangu
Heshima mkikutana maeneo inatoka. Anakuja gheto?Swezi kumtongoza madam hata siku moja.
Huyu anaheshimika sana hapa JF , nawashangaa nyinyi mnamsumbua sumbua.
Huku pm namuelekeza kwangu ananiletea keki bd yangu ilikuwa last week
Nampisha mwenye uzi wakeAsa unaondoka ili iweje
Mwandiko wako unaeleza wajihi wakoUkimaanisha nini?
Haha utasababisha dogo wa watu alie machozi.Haha wew tokea asbh unabwabwaja tu mwenzio kaja na kashazama pm ohoooo dogo utaumia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyo ivuga namjua sana. Pm zake huwa nazisomaSasa pm ni btn watu wawili wewe unajuaje tena???? Hebu bwana
Duh!! Am speechlessMwandiko wako unaeleza wajihi wako