Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Unaanza pale unapo anzaHivi unaanzaje kumpenda mtu jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza pale unapo anzaHivi unaanzaje kumpenda mtu jf?
Na mimi ndiye mumewe. kwakuwa huyo kijana nishajua real name yake ni rahisi sana kumfanyizia dawa za kienyeji. wakongwe wa haya mambo wapo humu humuYule ni mke wa mtu shaur yako
Teeteeeh haya fanya mamboNa mimi ndiye mumewe. kwakuwa huyo kijana nishajua real name yake ni rahisi sana kumfanyizia dawa za kienyeji. wakongwe wa haya mambo wapo humu humu
Wewe umemdhania mleta mada anamlenga emmyta na mimi nimemdhania kama weweWe una utani na mimi jombaa mi sio mwanamke arifu
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Sorry bros nimekuelewa [emoji120] [emoji120]
Mwache tu aserebuke na kuserereka maana ndio mambo ya JFAmekuja kujipigia promo.. [emoji23]
Ayaaa ndege huyoo kapeperuka[emoji38] [emoji38] sawa nakufollow
Unaenda kumpa hyo koni uliyomuahidi?Swadatkta.
Hapo tutaenda sawa, manake update zangu za kila kitu naweka kule.
Week end hii si unajua ninapotaka kukupeleka?
Kuna jimbo moja matata inna analijua
Mtafute mshana jrNa mimi ndiye mumewe. kwakuwa huyo kijana nishajua real name yake ni rahisi sana kumfanyizia dawa za kienyeji. wakongwe wa haya mambo wapo humu humu
Sure sure [emoji120] [emoji120]Wewe umemdhania mleta mada anamlenga emmyta na mimi nimemdhania kama wewe
Nimesikia kuwa wewe pia mtoto wa kitangaPunguza uchochezi Shem, umeona wapi hijabu jamani
Huyu kama hamzungumzii emmyta sijui
Ndio jamaa anamzungumzia emmyta
Niliposoma uzi nikafikiri kama wewe
Mafarisayo waka
ulizana. Atakuwa emmyta nini?
Ndipo bwana yesu akawaambia.......
Cc Emmyta
Shostiiiii njoo uone watu wamekuzimikia huku,ila shemeji asijue tuu maana....
Mmh. Nyie sio mimi. Mie Mmasai mjue sio Mtanga.Dada yangu emmyta ukimaliza majukumu ya ujenzi wa nchi ya Viwanda, pitia hapa uchangamshe genge pia.
HahahaMmh. Nyie sio mimi. Mie Mmasai mjue sio Mtanga.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bora ucheke swahiba. Sio emmy bana.Hahaha
Nami nimegundua sio wewe swahibaBora ucheke swahiba. Sio emmy bana.