Nimemuona mnyama aina ya Kalungeyeye sijajua ni ishara gani

Duh uaan ukimwona mnyama unatafuta ishara. Haya bana
 
NIMEKUELEWA VIZURI SANA MKUU, UMENIONGEZEA MAARIFA MAPYA NA MAKUBWA
 
Samahani ndio kaka kuona au??
Hapana ni mnyama mdogo sana na umbo lake halizidi ukubwa huo... Japo ana miba midogo isiyo na madhara kama ya kinyonga...
 

Attachments

  • images-1.jpeg
    9.6 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…