msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
Nahisi mwandiko wake wa Kike .Kwanini umedhani ni Ke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi mwandiko wake wa Kike .Kwanini umedhani ni Ke?
ALLAH/ELOHIM/ELOAH/HASHEMJuzi nikiwa nimejilaza kibarazani ghafla nilimuona paka wangu akifanya kitu ambacho sijawahi kumuona akifanya kabla wala kumuona paka mwingine yeyote akifanya hivyo.Nilishangaa sana nikamchukua ka clip nikiamini paka wangu ana talent ya ajabu na niliamini watu watashangaa sana kuona paka akifanya hivyo.Ningekua mpumbavu ningemuogopa paka wangu nikihisi ni jini.
Hata hivyo,japo sikujua nitatumia neno gani ku google ila nikasema ngoja ni google nione kama kuna sehemu wameongelea hichi kitu alichofanya paka wangu.Baada ya kusearch kwa maneno tofauti tofauti nikaibukia youtube na nilishangaa kuona kumbe hiyo ni moja ya tabia/matendo ya paka na kwamba paka wangu sio wa ajabu wala hana kipaji bali amefanya alichofanya sababu yeye ni paka.
Nilitafakari vile ambavyo ni ajabu kuwa ukiwachukua paka wote wa dunia hii bila kufundishwa wala kuona popote wana vitu vinavyofanana watafanya kwa sababu wao ni paka.Nikawatafakari na wanyama wengine wengi na mwishowe nikaanza kujitafakari mimi.
Wakati najitafakari nikajiuliza hivi kuna mashine inayochakata mambo mengi magumu na kwa ufanisi kama mwili wangu?Nikamkumbuka jirani yangu ambae ana siku ya nne leo kapata stroke na moja ya mkono wake hauwezi chochote lkn wiki mbili zilizopita tulikua nae msibani mimi na yeye tukipika jungu moja la ubwabwa tukisaidiana kukoroga na kuchochea kuni kwa mikono yetu bila shida.
ikajiambia kwa namna huu mwili unafanya kazi NAKATAA NA NINAPINGA VIKALI kuwa tumetokea tu randomly.There is A MAKER.Huu mwili umetengeneza na kitu ambacho kina akili nyingi kupita upeo wetu unqvyoweza kufikiri.Kitu chenye ubunifu mkuu.
Hata hivyo,my MAKER sio yule wa kina Mwampopo na kiboko na wengine jumlisha kobazi..Kamwe sitakua Zombie,sitanunua udongo,sitakanyaga mafuta wala hakuna wa kuna sadaka yangu.
Pia bado naamini kuwa Biblia na Quran ni vitabu vya mchongo vilivyoandikwa na wajanja kwa ajili ya wajinga ila sorry pamoja na kujua kuwa nitakuchanganya au uhisi nimechanganyikiwa ila naomba nikuache na 😀
UFUNUO 4:11
“Wastahili ee Bwana na Mungu wetu, kupokea utukufu na heshima na nguvu. Maana wewe uliumba vitu vyote, na kwa matakwa yako viliumbwa na vipo.”
FELIZ AÑO NUEVO🍾🍾🙏🏼🙏🏼🥂🥃🥏🍸🍽💃🏼🤸🏿♂️
.
Alijisaidia kwenye unga halafu akafukiaWaooow. Napenda Paka. Ninaye mmoja naishi nae. Huyo wako alikuwa anafanya tabia gani?
Sitakaa nikuelewe mkuuALLAH/ELOHIM/ELOAH/HASHEM
anasema hivi kuwaelezea watu kama wewe waliopita kabla yako takribani miaka 1400 iliyopita
QURAN 25:4-5
"And those who disbelieve say, "This [Qur’ān] is not except a falsehood he invented, and another people assisted him in it." But they have committed an injustice and a lie. And they say, "Legends of the former peoples which he has written down, and they are dictated to him morning and afternoon."
Swahili -
"Na wamesema walio kufuru: Haya (QURAN) si chochote ila ni uzushi alio uzua (Muhammad), na wamemsaidia kwa haya watu wengine! Hakika hawa (Makafiri) wamekuja na dhulma na uwongo. Na wakasema (waliokufuru): Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha (Muhammad), anavyo somewa asubuhi na jioni."
Hivyo wewe mtoa mada sio wa kwanza kusema kuwa QURAN ni maneno ya uongo ila nakuombea uzidi kuutafuta ukweli upate kuujua ili uje kusalimika na moto wa jahannam katika siku ya malipo.
God forbid😂😂 nyumba yenye paka kwanza sikai😬😬😬Ukiishi nae utajikuta unampenda tu.
ALLAH/ELOHIM/ELOAH/HASHEM
anasema hivi kuwaelezea watu kama wewe waliopita kabla yako takribani miaka 1400 iliyopita
QURAN 25:4-5
"And those who disbelieve say, "This [Qur’ān] is not except a falsehood he invented, and another people assisted him in it." But they have committed an injustice and a lie. And they say, "Legends of the former peoples which he has written down, and they are dictated to him morning and afternoon."
Swahili -
"Na wamesema walio kufuru: Haya (QURAN) si chochote ila ni uzushi alio uzua (Muhammad), na wamemsaidia kwa haya watu wengine! Hakika hawa (Makafiri) wamekuja na dhulma na uwongo. Na wakasema (waliokufuru): Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha (Muhammad), anavyo somewa asubuhi na jioni."
Hivyo wewe mtoa mada sio wa kwanza kusema kuwa QURAN ni maneno ya uongo ila nakuombea uzidi kuutafuta ukweli upate kuujua ili uje kusalimika na moto wa jahannam katika siku ya malipo.
hakuna kulazimishana katika dini ..amini unachokiamini ila unaonaje ukifa na ukaenda kukutana na haya uliyoyakanusha na kuyaita kuwa ni stori za uongo?Sitakaa nikuelewe mkuu