NIMEMUONA MUNGU MUUMBAJI (ELOHIM) KUPITIA PAKA WANGU

ALLAH/ELOHIM/ELOAH/HASHEM

anasema hivi kuwaelezea watu kama wewe waliopita kabla yako takribani miaka 1400 iliyopita


QURAN 25:4-5


"And those who disbelieve say, "This [Qur’ān] is not except a falsehood he invented, and another people assisted him in it." But they have committed an injustice and a lie. And they say, "Legends of the former peoples which he has written down, and they are dictated to him morning and afternoon."


Swahili -

"Na wamesema walio kufuru: Haya (QURAN) si chochote ila ni uzushi alio uzua (Muhammad), na wamemsaidia kwa haya watu wengine! Hakika hawa (Makafiri) wamekuja na dhulma na uwongo. Na wakasema (waliokufuru): Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha (Muhammad), anavyo somewa asubuhi na jioni."

Hivyo wewe mtoa mada sio wa kwanza kusema kuwa QURAN ni maneno ya uongo ila nakuombea uzidi kuutafuta ukweli upate kuujua ili uje kusalimika na moto wa jahannam katika siku ya malipo.
 
Quran 41:53

Fussilat 41:53


We will show them Our signs in the horizons and within themselves until it becomes clear to them that it is the truth.[1] But is it not sufficient concerning your Lord that He is, over all things, a Witness?[2]


"Tutawaonyesha Ishara zetu katika upeo wa mbali na katika nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya (QURAN) ni kweli. Je! Haikutoshi kwamba Mola wako Mlezi kuwa Yeye ni Shahidi wa kila kitu?"
 
Quran 41:54

Fussilat 41:54


Unquestionably, they are in doubt about the meeting with their Lord. Unquestionably He is, of all things, encompassing.

Swahili -

Ama wao wamo katika shaka ya kukutana na Mola wao Mlezi! Ama hakika Yeye amekizunguka kila kitu.
 
Paka wapumbavu wameniamsha na kelele usiku kumbe wako kwenye starehe zao za kulana tunda.
 
Sasa mkuu huyo Mungu wako unamuona yuko sawa? Ana upendo?
Yaani ameruhusu jirani yako apate stroke?
Sasa hapo upendo wa Mungu uko wapi?
Wapi nimesema Mungu?
Nimesema MAKER,nimesema kitu chenye akili na ubunifu
 
Upendo kwa wanyama unakuwaga wa kweli na waelewa sana.!!

Nakijua anachopitia aanze kuwapa upendo mpya na km ana kitu kafanya aache.!
I know.
Na yeye anaonekana yuko karibu sana na pets wake
 
Sitakaa nikuelewe mkuu
 
 
God forbid😂😂 nyumba yenye paka kwanza sikai
Sawa ila amini nakuambia ukifungiwa nyumba moja na paka for one week ukitoka utaomba uondoke na huyo paka😀
 
Sitakaa nikuelewe mkuu
hakuna kulazimishana katika dini ..amini unachokiamini ila unaonaje ukifa na ukaenda kukutana na haya uliyoyakanusha na kuyaita kuwa ni stori za uongo?

Utakuwa na wa kumlaumu isipokuwa nafsi yako?
 
Mama nani hiii hiyo clip si uweke!! Au unaogopa Paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…