Afu nna mashaka huyu mdada ametunga hii mada ....manake daaah..Binti unachemka!! alichofanya huyo ndio ulichofanya hapa wewe!! tatizo tu hukumkubali ndio maana umekuja hapa kuanika na kutaka kujionyesha kuwa wewe unazo!!
Hivi mfano angekuja na Vogue au gari yoyote ambayo wewe unaona ni ya maana, ungekuja kusema hapa au mngekubaliana? Kwanini mambo yenu ya PM uyalete hapa? ni ukosefu wa staha.
Mbona wakati unakwenda kuonana nae hukutangaza hapa kuwa jamani, naenda kukutana na jamaa anayejidai nimkomeshe... hizi ni tabia za machangu wa kisasa, naamini wewe sio lakini!!
sheria zinaruhusu nimtaje?
Kama namfahamu vile.......endelea!!kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.
Akording to maelezo anayotoa hapo juu sifa alizotaja sio zako........usiwe na shakaNaomba unisitiri mwenzio tafadhali sitorudia tena.
Binti unachemka!! alichofanya huyo ndio ulichofanya hapa wewe!! tatizo tu hukumkubaliana ndio maana umekuja hapa kuanika na kutaka kujionyesha kuwa wewe unazo!!
Hivi mfano angekuja na Vogue au gari yoyote ambayo wewe unaona ni ya maana, ungekuja kusema hapa au mngekubaliana? Kwanini mambo yenu ya PM uyalete hapa? ni ukosefu wa staha.
Mbona wakati unakwenda kuonana nae hukutangaza hapa kuwa jamani, naenda kukutana na jamaa anayejidai nimkomeshe... hizi ni tabia za machangu wa kisasa, naamini wewe sio lakini!!
Inaonekana una hasira nae sana, ni huko kuazima gari tu au kuna kingine alichokukosea? Nna hakika hata moyo wako unajua kuwa unachokifanya hapa sio ustaarabu... Mtunzie siri mwenzio manake huo ndio ubinadamu.kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.
Inaonekana una hasira nae sana, ni huko kuazima gari tu au kuna kingine alichokukosea? Nna hakika hata moyo wako unajua kuwa unachokifanya hapa sio ustaarabu... Mtunzie siri mwenzio manake huo ndio ubinadamu.
Binti unachemka!! alichofanya huyo ndio ulichofanya hapa wewe!! tatizo tu hukumkubaliana ndio maana umekuja hapa kuanika na kutaka kujionyesha kuwa wewe unazo!!
Hivi mfano angekuja na Vogue au gari yoyote ambayo wewe unaona ni ya maana, ungekuja kusema hapa au mngekubaliana? Kwanini mambo yenu ya PM uyalete hapa? ni ukosefu wa staha.
Mbona wakati unakwenda kuonana nae hukutangaza hapa kuwa jamani, naenda kukutana na jamaa anayejidai nimkomeshe... hizi ni tabia za machangu wa kisasa, naamini wewe sio lakini!!
wanaume wanatuchezea sana. ajab mtu anaona mtu afanya maovu ya
kuchafua wanawake wanamchekea tu. nimesema hapa ili waschana wenzangu
wajue kua wawe makini na wanaume wanaowatongoza pm. nimeshangaa vitu nilivokimbia fb vipo na hapa.
kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.
Ha ha ha ha
Umbea ni ugonjwa
Naenda kodi matarumbeta
Pilau kwa King'asti
Wewe andaa maturubai ya shughuli
ndio mlivyo wanaume ingekua ni thread ya kueleza binti alivyoingia mkenge
mngefurahia kweli na kusema maneno yoote kwenye kamusi. sbb ni mwanaume
mwenzenu mnajaribu kuonesha mm ndio nilchemka. uzuri naelewa nn nilkua nafanya.
watongozaji wengine wamepita hapa hapa. i dare them mmoja wao aseme poh na mm
bila hiana nitataja kua nae mmoja wao. mwisho mtatongoza na majini nyie hamjui nayo yana teknologia?
Pumba tupu.
Mbona mlivyoanza kutongozana hukututaarifu?
Mimi ninachokataa ni namna ya wewe ulivyoileta hii issue yenu ya PM. Kama ungeanzisha thread na kuonya wanawake hapa kuhusu mambo kama hayo hamna ambaye angekukatalia wala kukuona wa ajabu.. tatizo mama ni jinsi ulivyoileta hii thread yako ya Jeep, oooh mimi mtoto wa fisadi, inaondoa kabisa maana nzuri labda uliyokuwa nayo, na wewe kujishusha kuwa sawa na huyo jamaa aliyekutongoza wewe mkakubaliana kukutana, lakini magari mliyokuja nayo hayakuwa na thamani sawa kama unavyodai, hivyo wewe kukasirika sana na kuja kumuanika... sio vyema mama...
bora sisi wenye vibajaji na baiskeli tunaweza kutongoza ila wale wasio na hivyo.....wenye bajaj tutakuwa hatutongozi humu kwa kweli lol
dah.....
mwanaume alie hmsef sio wakujifanyisha akinitongoza aseme ataka sex kwangu sio kujfanya ataka kunioa na sio kujfanya wa hal ya juuuuu huku aumia.