Nimemuona mwana jf kitaa

Nimemuona mwana jf kitaa

kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.
 
Binti unachemka!! alichofanya huyo ndio ulichofanya hapa wewe!! tatizo tu hukumkubali ndio maana umekuja hapa kuanika na kutaka kujionyesha kuwa wewe unazo!!

Hivi mfano angekuja na Vogue au gari yoyote ambayo wewe unaona ni ya maana, ungekuja kusema hapa au mngekubaliana? Kwanini mambo yenu ya PM uyalete hapa? ni ukosefu wa staha.

Mbona wakati unakwenda kuonana nae hukutangaza hapa kuwa jamani, naenda kukutana na jamaa anayejidai nimkomeshe... hizi ni tabia za machangu wa kisasa, naamini wewe sio lakini!!
Afu nna mashaka huyu mdada ametunga hii mada ....manake daaah..
 
kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.
Kama namfahamu vile.......endelea!!
 
Binti unachemka!! alichofanya huyo ndio ulichofanya hapa wewe!! tatizo tu hukumkubaliana ndio maana umekuja hapa kuanika na kutaka kujionyesha kuwa wewe unazo!!

Hivi mfano angekuja na Vogue au gari yoyote ambayo wewe unaona ni ya maana, ungekuja kusema hapa au mngekubaliana? Kwanini mambo yenu ya PM uyalete hapa? ni ukosefu wa staha.

Mbona wakati unakwenda kuonana nae hukutangaza hapa kuwa jamani, naenda kukutana na jamaa anayejidai nimkomeshe... hizi ni tabia za machangu wa kisasa, naamini wewe sio lakini!!

ndio mlivyo wanaume ingekua ni thread ya kueleza binti alivyoingia mkenge

mngefurahia kweli na kusema maneno yoote kwenye kamusi. sbb ni mwanaume

mwenzenu mnajaribu kuonesha mm ndio nilchemka. uzuri naelewa nn nilkua nafanya.

watongozaji wengine wamepita hapa hapa. i dare them mmoja wao aseme poh na mm

bila hiana nitataja kua nae mmoja wao. mwisho mtatongoza na majini nyie hamjui nayo yana teknologia?
 
kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.
Inaonekana una hasira nae sana, ni huko kuazima gari tu au kuna kingine alichokukosea? Nna hakika hata moyo wako unajua kuwa unachokifanya hapa sio ustaarabu... Mtunzie siri mwenzio manake huo ndio ubinadamu.
 
wanaume wanatuchezea sana. ajab mtu anaona mtu afanya maovu ya

kuchafua wanawake wanamchekea tu. nimesema hapa ili waschana wenzangu

wajue kua wawe makini na wanaume wanaowatongoza pm. nimeshangaa vitu nilivokimbia fb vipo na hapa.
 
Binti unachemka!! alichofanya huyo ndio ulichofanya hapa wewe!! tatizo tu hukumkubaliana ndio maana umekuja hapa kuanika na kutaka kujionyesha kuwa wewe unazo!!

Hivi mfano angekuja na Vogue au gari yoyote ambayo wewe unaona ni ya maana, ungekuja kusema hapa au mngekubaliana? Kwanini mambo yenu ya PM uyalete hapa? ni ukosefu wa staha.

Mbona wakati unakwenda kuonana nae hukutangaza hapa kuwa jamani, naenda kukutana na jamaa anayejidai nimkomeshe... hizi ni tabia za machangu wa kisasa, naamini wewe sio lakini!!

Nilikosea kidogo sana kuna jamaa yangu ana Vogue lakini alikuwa amesafiri kidogo, kuna kila dalili ningeazima hilo mda huu ningekuwa nimetafuna Mpolee mda mreeeefu!!!!
 
wanaume wanatuchezea sana. ajab mtu anaona mtu afanya maovu ya

kuchafua wanawake wanamchekea tu. nimesema hapa ili waschana wenzangu

wajue kua wawe makini na wanaume wanaowatongoza pm. nimeshangaa vitu nilivokimbia fb vipo na hapa.

kwani we ulitaka mwanaume wa aina gani labda?
na why ulifikiri hapa jf utakuta tofauti?
 
kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.

Kwahiyo kumbe tatizo lako ni wivu?
Watu wengine mna matatizo kweli, msipopata mlichotarajia mnakua kama matarumbeta kwenye mikono ya kichaa!!
 
Ha ha ha ha
Umbea ni ugonjwa

Naenda kodi matarumbeta
Pilau kwa King'asti
Wewe andaa maturubai ya shughuli

kusutwa suna bibi eeh!!! halo halooo
nshayafunga tayari nasubiri mwali mpoleee amwage kuku t kwenye mchele mwingi
 
Kwahiyo kumbe tatizo lako ni wivu?
Watu wengine mna matatizo kweli, msipopata mlichotarajia mnakua kama matarumbeta kwenye mikono ya kichaa!!

yaonesha kishoka mgum kuelewa ww.
 
ndio mlivyo wanaume ingekua ni thread ya kueleza binti alivyoingia mkenge

mngefurahia kweli na kusema maneno yoote kwenye kamusi. sbb ni mwanaume

mwenzenu mnajaribu kuonesha mm ndio nilchemka. uzuri naelewa nn nilkua nafanya.

watongozaji wengine wamepita hapa hapa. i dare them mmoja wao aseme poh na mm

bila hiana nitataja kua nae mmoja wao. mwisho mtatongoza na majini nyie hamjui nayo yana teknologia?

Mimi ninachokataa ni namna ya wewe ulivyoileta hii issue yenu ya PM. Kama ungeanzisha thread na kuonya wanawake hapa kuhusu mambo kama hayo hamna ambaye angekukatalia wala kukuona wa ajabu.. tatizo mama ni jinsi ulivyoileta hii thread yako ya Jeep, oooh mimi mtoto wa fisadi, inaondoa kabisa maana nzuri labda uliyokuwa nayo, na wewe kujishusha kuwa sawa na huyo jamaa aliyekutongoza wewe mkakubaliana kukutana, lakini magari mliyokuja nayo hayakuwa na thamani sawa kama unavyodai, hivyo wewe kukasirika sana na kuja kumuanika... sio vyema mama...
 
kwani we ulitaka mwanaume wa aina gani labda?
na why ulifikiri hapa jf utakuta tofauti?

mwanaume alie hmsef sio wakujifanyisha akinitongoza aseme ataka sex kwangu sio kujfanya ataka kunioa na sio kujfanya wa hal ya juuuuu huku aumia.
 
At this age
Uje kufundishwa na jf
kukabiliana na watongozaji?

Au ni kujipaisha, am strong
I can resist gx100?
Dah, mie domo wazi lote

Unless kama anachangamsha baraza
Pumba tupu.

Mbona mlivyoanza kutongozana hukututaarifu?
 
Mimi ninachokataa ni namna ya wewe ulivyoileta hii issue yenu ya PM. Kama ungeanzisha thread na kuonya wanawake hapa kuhusu mambo kama hayo hamna ambaye angekukatalia wala kukuona wa ajabu.. tatizo mama ni jinsi ulivyoileta hii thread yako ya Jeep, oooh mimi mtoto wa fisadi, inaondoa kabisa maana nzuri labda uliyokuwa nayo, na wewe kujishusha kuwa sawa na huyo jamaa aliyekutongoza wewe mkakubaliana kukutana, lakini magari mliyokuja nayo hayakuwa na thamani sawa kama unavyodai, hivyo wewe kukasirika sana na kuja kumuanika... sio vyema mama...

maneno kuntu hayo.
 
Kuna mtu anaweza nipiga rungu kichwani?
ubongo wangu umeganda, sielewi kitu

Back
Top Bottom