PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Wenye akili zetu maeneo ya hivi tunayapita kama vile hakuna hata sisimizi!humu ndani kuna utoto hadi basi..lol....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili zetu maeneo ya hivi tunayapita kama vile hakuna hata sisimizi!humu ndani kuna utoto hadi basi..lol....
we ndio mtoa hukum? ww Crap x 100
Ujue mie mtoto wa fisadi??..kwetu kuna tv mpaka chooni ati, Nikimwambia baba utapata shida sana...Hahaha. . . watagoma kula aiseee.
mwanaume alie hmsef sio wakujifanyisha akinitongoza aseme ataka sex kwangu sio kujfanya ataka kunioa na sio kujfanya wa hal ya juuuuu huku aumia.
Una hakika katongozwa? Isijekuwa ntoke vipi.
nan alikuambia crap ni opinion? rudi sch.
Hapo sasa. Kila mtu akimwaga mchele hapa patatosha kweli jamani?Sina hakika ila mambo yao ya PM leo wameleta Jukwaani sio ishu wangapi vinawatokea ila wanachunia 2.
Ujue mie mtoto wa fisadi??..kwetu kuna tv mpaka chooni ati, Nikimwambia baba utapata shida sana...
Tukuangushe tulikua tumekubeba?nimekupenda bure! niljua nikurush tuma sred kama hii siwez kosa wachangiaj wa kumwaga povu kama ulivyoona Kongosho na Lizzy hawajaniangusha. teh teh teh.
....Alas! Sasa ndio najua maana ya "chit - chat"!...niljua nikurush tuma sred kama hii siwez kosa wachangiaj wa kumwaga povu kama ulivyoona Kongosho na Lizzy hawajaniangusha. teh teh teh.
Hahaha. . . watagoma kula aiseee.
Lol, wengine mmevaa mawani za mbao bana, (haswa Lizzy na Kongosho) najipitisha hata hamnioni...Hahahahahaha. . .
Hivi watoto wa mafisadi hua wanatangaza au wanaonekana?
Una hakika katongozwa? Isijekuwa ntoke vipi.
Sio ingebadilika tu, yaani hata kumtangaza asingemtangaza, wangemalizana kimya kimya..Hah Mpoleee,so ingekuwa jamaa ndo kaja na Jeep Version ya 2010 na wewe umetinga na GX 100 story ingebadilika au? Maana mie kilaza sijaelewa kwa nn umeweka huu mlinganyo wa magari!