Nimemuona mwana jf kitaa

Nimemuona mwana jf kitaa

Lol, wengine mmevaa mawani za mbao bana, (haswa Lizzy na Kongosho) najipitisha hata hamnioni...

Mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe.. Source: Kongosho.
Lolz. . . .basi next time jipitishe na kengele.
 
Asante, ila mbwa wake hamlishi
Hana sauti ya kubweka
Mbwa gani anawika?

Lol, wengine mmevaa mawani za mbao bana, (haswa Lizzy na Kongosho) najipitisha hata hamnioni...

Mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe.. Source: Kongosho.
 
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka
Am tempted...my wheels can stand in front of your jeep....
 
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka

Mimi nilidhani mnatongozana, kumbe mlipanga kukutana ili mlinganishe thamani ya magari yenu!
Kwa hiyo kwa kumiliki gari ambalo ni less valuable kwako, huyo hana sifa ya kukupenda mpaka ajipange tena.
Aaaagh....Heri yetu wakina sisi ambao nauli ya Pantoni kupandishwa tu, inakuwa nongwa mpaka kwenye TV tunaoneshwa....haya bana endeleeni kutuletea hizo tamthilia zenu toka huko P.M, we are here to read.
 
Lolz. . . .basi next time jipitishe na kengele.
Hahaha... Sante kwa ushauri. Tena kwa hasira ntaivaa shingoni kama wale mbuzi wa kule moshi kwetu.. Daaah sikujua kumbe umaarufu unapatikana kwa shida hivi...
 
Mimi nilidhani mnatongozana, kumbe mlipanga kukutana ili mlinganishe thamani ya magari yenu!
Kwa hiyo kwa kumiliki gari ambalo ni less valuable kwako, huyo hana sifa ya kukupenda mpaka ajipange tena.
Aaaagh....Heri yetu wakina sisi ambao nauli ya Pantoni kupandishwa tu, inakuwa nongwa mpaka kwenye TV tunaoneshwa....haya bana endeleeni kutuletea hizo tamthilia zenu toka huko P.M, we are here to read.
je angeenda kwa kupiga mbizi?-source magufuli
 
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.
na wewe kila siku unawazaga kutongozwa tu!
 
Hongera asee, mie sijapata dear labda kama umebakiza chochote from bush unicheki ndugu yako...lol.
mwaka huu hata sitaki tena nataka kukaa ndani nijenge familia shosti ukinionea mbachelor umezagaa mahali nishtue hata kama huna pikipiki mambo ya jipu majipu achana nayo
 
Watu bado ni washamba hawajui usichukulie kitu chochote chit chat serious na wajiita ma GTs..loh. hata gari sijui kuendesha.

Hahahah mamito sio kuwa unakimbia mashambulizi? Hebu gangamala bwana mwanamke wa shoka wewe ah, woga wa nini kwa vivuli wakati vichaa madereva wa daladala wanakukwepa barabarani? Chezea Jeep Version ya 2010 wao! Wanakupigia na saluti ati!

Na we shost kwa nn sasa ukakubali kukutania Blue Pearl ambako hata baiskel zaruhusiwa kushusha abiria? Ungemwambia mkutane matawi ambako kuna mpaka Jeep yako ingekirimiwa kwa shade!
Au nawe lako uliazima?
 
Aiseee.. sasa sisi wenye Baby walker sijui itakuwaje kama jamaa anasukuma GX100 kapashwa hivi!
 
We Mpole hta kama nia yko ni kumpa za uso hujasaidia chochote, kwani jamaa anatumia pm kurubuni. Solution ilikua umtaje live wadada wamjue, vinginevyo umejiumbua. Kongosho nakupa big up kwan unaonekana ni wife material.

kwani Kongosho ni mwanamke???!?!
 
Back
Top Bottom