Nimemuona mwana jf kitaa

Nini lengo la kukutana kwenu???? Wakati wa mipango yenu ya kukutana hamkutushirikisha, sasa mambo yameenda ndivyo sivyo mnaanza kunyambuana! Lol!
 
wanaume wanatuchezea sana. ajab mtu anaona mtu afanya maovu ya

kuchafua wanawake wanamchekea tu. nimesema hapa ili waschana wenzangu

wajue kua wawe makini na wanaume wanaowatongoza pm. nimeshangaa vitu nilivokimbia fb vipo na hapa.
Aisee! Hivi una hakika wanawake wa humu sio makini? Wana vifua vya kuhifadhia siri mpendwa, kila mtu akiamua kuja hapa na kusema katongozwa na nani na lini wala hapatatosha kabisa. Afu kwa karne hii tuliyopo sasa bado kuna mwanamke anadanganyika kweli?
 
mwanaume alie hmsef sio wakujifanyisha akinitongoza aseme ataka sex kwangu sio kujfanya ataka kunioa na sio kujfanya wa hal ya juuuuu huku aumia.

sijakuelewa mpolee, hebu dadavua
 
mie nimeuliza kuna tatizo gani kutongoza au kutongozwa??????????????????????????????
 



Ohooooo! huna habari?
 
Mtongozane kwenye PM mkigomban mnakuja jukwaani mambo ya Jf.
 
Sio crime.. Swali la nyongeza.

heheheeee
muhishimiwa naomba kujua mpolee kama alikuwa na mamlaka ya kukubali au kukataa tongozo husika right from the scratch
(ntakuwa na dogo la nyogeza hili likijibiwa)
 
Alidhani kapata muoaji
Akakuka kapata mkamuaji

Ila makamuzi mengine ndo huleta ndoa
Alitaka amkute na engagement ring hapo hapo
Ndo mana mie nikasema toka mwamnzo
Walitofautiana terms tu
sijakuelewa mpolee, hebu dadavua
 
At this age
Uje kufundishwa na jf
kukabiliana na watongozaji?

Au ni kujipaisha, am strong
I can resist gx100?
Dah, mie domo wazi lote

Unless kama anachangamsha baraza

Si ajabu hiyo gx ameishia kuiona kwenye TV!!
Pumba nyingine hazifai hata kulisha ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…