nimekupenda bure! niljua nikurush tuma sred kama hii siwez kosa wachangiaj wa kumwaga povu kama ulivyoona Kongosho na Lizzy hawajaniangusha. teh teh teh.
Hahaha... Ngoja nimshauri amshirikishe na TF itauza lazima.Si alishatoka na MTM
Afu na usupastaa
Bado tu?
Basi ajue albam haiuziki hiyo
Lolz. . . .basi next time jipitishe na kengele.Lol, wengine mmevaa mawani za mbao bana, (haswa Lizzy na Kongosho) najipitisha hata hamnioni...
Mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe.. Source: Kongosho.
Lol, wengine mmevaa mawani za mbao bana, (haswa Lizzy na Kongosho) najipitisha hata hamnioni...
Mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe.. Source: Kongosho.
Am tempted...my wheels can stand in front of your jeep....kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka
Lol... Kumbe wale x, y, z, e, f, g...walokuwezesha msimu wa sikukuu ni wanaume wa jf?mmmh mimi sijawai kukutaka na feki humu hadi nimelipiwa ndege kwenda bush na holiday season nimepewa madola kadhaaa
mimi like sana wanaume wa jf
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka
baadhi shosti sio wote na bado wanaendelea wewe hujapata chochote humu?Lol... Kumbe wale x, y, z, e, f, g...walokuwezesha msimu wa sikukuu ni wanaume wa jf?
Hahaha... Sante kwa ushauri. Tena kwa hasira ntaivaa shingoni kama wale mbuzi wa kule moshi kwetu.. Daaah sikujua kumbe umaarufu unapatikana kwa shida hivi...Lolz. . . .basi next time jipitishe na kengele.
je angeenda kwa kupiga mbizi?-source magufuliMimi nilidhani mnatongozana, kumbe mlipanga kukutana ili mlinganishe thamani ya magari yenu!
Kwa hiyo kwa kumiliki gari ambalo ni less valuable kwako, huyo hana sifa ya kukupenda mpaka ajipange tena.
Aaaagh....Heri yetu wakina sisi ambao nauli ya Pantoni kupandishwa tu, inakuwa nongwa mpaka kwenye TV tunaoneshwa....haya bana endeleeni kutuletea hizo tamthilia zenu toka huko P.M, we are here to read.
Ukiona hivyo ujue keshakuwa mbwa koko...lolAsante, ila mbwa wake hamlishi
Hana sauti ya kubweka
Mbwa gani anawika?
na wewe kila siku unawazaga kutongozwa tu!teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.
Hongera asee, mie sijapata dear labda kama umebakiza chochote from bush unicheki ndugu yako...lol.baadhi shosti sio wote na bado wanaendelea wewe hujapata chochote humu?
mwaka huu hata sitaki tena nataka kukaa ndani nijenge familia shosti ukinionea mbachelor umezagaa mahali nishtue hata kama huna pikipiki mambo ya jipu majipu achana nayoHongera asee, mie sijapata dear labda kama umebakiza chochote from bush unicheki ndugu yako...lol.
Watu bado ni washamba hawajui usichukulie kitu chochote chit chat serious na wajiita ma GTs..loh. hata gari sijui kuendesha.
We Mpole hta kama nia yko ni kumpa za uso hujasaidia chochote, kwani jamaa anatumia pm kurubuni. Solution ilikua umtaje live wadada wamjue, vinginevyo umejiumbua. Kongosho nakupa big up kwan unaonekana ni wife material.