Nimemuona mwana jf kitaa

Nimemuona mwana jf kitaa

Tooobah! Nafwaaa! Mwaka umeanza vibaya huu!
SweetLady... Husninyo.... Mwali... Smiles.... Mje nyumbani leo tutaongea vizuri.... Ngoja nitoke kidogo nikampikie Mupenzi... na salamu zenu zitafika.... Nitakuja tu kuchukua Feed bak hapa.....lol:biggrin:

Alafu mumuambie King' ana case ya kujibu!
 
nakuja aunt ila leo kuosha vyombo zamu ya mwali. Mi nimechoka. Lol.
 
Umeonae swahiba eeh??? Ngoja niongee na my wifi a.k.a your aunt AshaDii aanzishe darasa hapa. Kungwi atakuwa mamkwe wako a.k.a mke mwenzangu King'asti...lol

halafu hujui ma mkwe wangu huwa namfunda mimi. Lol
 
SweetLady... Husninyo.... Mwali... Smiles.... Mje nyumbani leo tutaongea vizuri.... Ngoja nitoke kidogo nikampikie Mupenzi... na salamu zenu zitafika.... Nitakuja tu kuchukua Feed bak hapa.....lol:biggrin:

Alafu mumuambie King' ana case ya kujibu!
Mie ntafika afta dina leo kuna mwana jf ntakutana nae Kempiski so nafikiri ntakula huko, huko..akija na gari ya kuazima majibu mtayapata kesho hapa, hapa..
 
No wasiwasi, nilimwambia mwalimu kua anaumwa, class ziko saspendedi hadi atakapo kuja.

Haya, naomba basi uniachie kiti chako, maana nataka nirudi kwanza pages za mwanzo nisome nielewe... nimesoma tu post ya kwanza ya thread, ndio nikatoa mshangao hapo juu.
Labda nikisoma nitaelewa vizuri.

mmmh! Mwali kiti changu utakiweza? Kasome pages kwanza nitakupa ki test... Ukifaulu... We will talk.

Tooobah! Nafwaaa! Mwaka umeanza vibaya huu!

Nakushauri tu tafuta Lawyer or you are Lost you best wifi of mine!

nakuja aunt ila leo kuosha vyombo zamu ya mwali. Mi nimechoka. Lol.

Na weee kavivu wewe.... Mwali si yeye hufagia uwanja na kukuna nazi? lol

Na log off; Source (WashaWasha)

Pamoja Saana.
 
halafu hujui ma mkwe wangu huwa namfunda mimi. Lol
Umeanza eeh?? Siri za chumbani wazileta sebuleni...khaaa huna mume walah tena, labda udelete hiyo post yako kabla mamkwe wako hajaisoma...
 
sasa swahiba umeharibu kuniquote. Lol. Mamkwe wangu mzungu wa roho.
 
Bora wewe umesema kabla ya kwenda
sio wale wanaonyonyolewa ndo wanalalama hapa
Mie ntafika afta dina leo kuna mwana jf ntakutana nae Kempiski so nafikiri ntakula huko, huko..akija na gari ya kuazima majibu mtayapata kesho hapa, hapa..
 
Bora wewe umesema kabla ya kwenda
sio wale wanaonyonyolewa ndo wanalalama hapa
Hahaha! Kongosho ujue kunyonyolewa kavu kavu bila hata kuchemshiwa maji inauma ati.. Ukiona wanalalama ujue wanatoa maumivu..lol
 
mmmh! Mwali kiti changu utakiweza? Kasome pages kwanza nitakupa ki test... Ukifaulu... We will talk.
NImesha soma, nimeelewa elewa... haya, leta test...

Na weee kavivu wewe.... Mwali si yeye hufagia uwanja na kukuna nazi? lol
Nilifagia uwanja na niko tayari kuosha vyombo ila kwa kukuna nazi... mwache afanye yeye. lol
 
Back
Top Bottom