Nimemuona mwana jf kitaa

Nimemuona mwana jf kitaa

hapana mimi mtoto wa fisad hio no zawad toka kwa dad nimezaliwa na kukulia kny pesa usnchukie lkn

mpoleeee said:
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu
Sijachukia ila mhn mhn!

Naamini kama ni kweli huyo mwana JF atajitokeza na yeye atupe stori ya upande wa pili...

Masikini shida yake hakuwa mtoto wa fisadi kama, poor guy lol!
 
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka
nimeipendajeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hii jamani
 
kidume ana maneno laini anajifanya mstaarab hapa jamvin kama vile haendekezi ma binti alikuja kwa gia hio. jina lake matata sig yake ya kidhungu kaweka picha ya mtu maarufu anapendwa na wengi hata mm. mshamba na limbukeni. ngoja nikumbuke mengine.
Duh!

Karibu niseme ni The Boss kwasababu avatar yake nadhani inapendwa...Bawse ngoja nicheki signature yako kwanza lol!
 
ndioooooooooooo mpoleee ndiooooooooooooooooooooooo,safi sana kumuumbua huyo The Boss.....LOLS

Duh!

Karibu niseme ni The Boss kwasababu avatar yake nadhani inapendwa...Bawse ngoja nicheki signature yako kwanza lol!
Sio The Boss, yeye anatumia bodaboda au bajaj, sikumbuki vizuri. 🙂 (source: The Boss mwenyewe)
 
Back
Top Bottom