Nimemuona mwana jf kitaa

Nimemuona mwana jf kitaa

Last edited by a moderator:
yaani humu ndani ikianzishwa a thread kuhusu mwanaume kutongoza
boss ndo no 1 suspect lol

sasa mimi sina gx 100
natumia boda boda.........haya leteni kesi ingine lol
 
yaani humu ndani ikianzishwa a thread kuhusu mwanaume kutongoza
boss ndo no 1 suspect lol

sasa mimi sina gx 100
natumia boda boda.........haya leteni kesi ingine lol
mbona umejishtukia kaka? ungesema: ikianzishwa kesi ya magari The Boss suspect. au ungesema Ikianzishwa kesi ya PM the boss suspect. mbona umerukia huko kwenye kutongoza?
 
mbona umejishtukia kaka? ungesema: ikianzishwa kesi ya magari The Boss suspect. au ungesema Ikianzishwa kesi ya PM the boss suspect. mbona umerukia huko kwenye kutongoza?

nilikuwa sijui hii kesi inahusu nini hasa
kumbe magari ok...
basi hainihusu lol
 
Umesha jitoa, endelea tu. hata hivo Neema na Jmushi1 wamesha kutaja pia

unless muanzisha mada aseme ni mimi
basi hizo redio mbao tu...

but think about it....gx100 huipati bila milioni 12 na kuendelea
na still mtu anapondwa
si bora to stick na boda boda for godsake? lol
 
Sio The Boss, yeye anatumia bodaboda au bajaj, sikumbuki vizuri. 🙂 (source: The Boss mwenyewe)
Lol!

Kuna source za PM pia ha ha ha!

BTW si kwamba naamini ni The Bawse, ila maelezo ya avatar inayopendwa na mtu maarufu humu inamwangukia Bawse, siajsema ni Bawse tho lol

Ila nilitaka nitizame na signature, nimekuta ni ya kizungu, ila bado kidogo...
 
Lol!

Kuna source za PM pia ha ha ha!

BTW si kwamba naamini ni The Bawse, ila maelezo ya avatar inayopendwa na mtu maarufu humu inamwangukia Bawse, siajsema ni Bawse tho lo

i know......usijali......lol
 
unless muanzisha mada aseme ni mimi
basi hizo redio mbao tu...

but think about it....gx100 huipati bila milioni 12 na kuendelea
na still mtu anapondwa
si bora to stick na boda boda for godsake? lol
Umenichekesha mkuu licha ya kwamba umeniita redio mbao!

Unaonekana umeguswa sana mkuu, si kawaida yako...
 
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.

Kumbe issue hapa ni vitu vitatu tu:
1. Style ya utongozaji;
2. Aina ya usafiri, na
3. Usafiri wa kuazima.
Mkuu kumbe njia nyeupe kwako kama hayo hapo juu yakitimizwa. No terms, No conditions!
 
Lol!
Kuna source za PM pia ha ha ha!
BTW si kwamba naamini ni The Bawse, ila maelezo ya avatar inayopendwa na mtu maarufu humu inamwangukia Bawse, siajsema ni Bawse tho lol
Ila nilitaka nitizame na signature, nimekuta ni ya kizungu, ila bado kidogo...
Ukimpata usimtaji, wanawake wengine wanaona gari ndio muhimuuuuuuu. waache wategeke hivo hivo. lol
 
Lol!

Kuna source za PM pia ha ha ha!

BTW si kwamba naamini ni The Bawse, ila maelezo ya avatar inayopendwa na mtu maarufu humu inamwangukia Bawse, siajsema ni Bawse tho lol

Ila nilitaka nitizame na signature, nimekuta ni ya kizungu, ila bado kidogo...
Kwa alivyoelezea avatar naweza sema namjua mhusika, ila nna uhakika hajakutana nae labda PM haikujibiwa.
 
Kumbe issue hapa ni vitu vitatu tu:
1. Style ya utongozaji;
2. Aina ya usafiri, na
3. Usafiri wa kuazima.
Mkuu kumbe njia nyeupe kwako kama hayo hapo juu yakitimizwa. No terms, No conditions!
Bonge la analysis !!!
 
i know......usijali......lol
Ok mkuu miye ngoja nijisomee tu, nadhani pia ni kama "Changamsha genge" tu.

Kwasababu huyo member ni lazima angejitokeza, unless na yeye anaamini kuwa gx lake halina mpango.

Kwasababu la kuazima halina ushahidi zaidi ya alivyoonekana na mpoleeee kama dereva badala ya mwenye gari.

Ningekuwa mimi ningejitokeza tu na kujitetea maana sioni big deal wala nini.

No wonder fitty alikuja na 21 questions licha ya mipesa aliyonayo!lol
 
Ok mkuu miye ngoja nijisomee tu, nadhani pia ni kama "Changamsha genge" tu.

Kwasababu huyo member ni lazima angejitokeza, unless na yeye anaamini kuwa gx lake halina mpango.

Kwasababu la kuazima halina ushahidi zaidi ya alivyyonekana kama dereva badala ya mwenye gari.

Ningekuwa mimi ningejitokeza tu na kujitetea maana sioni big deal wala nini.

No wonder fitty alikuja na 21 questions licha ya mipesa aliyonayo!lol

ndo maana akamwambia jipange
so mushi we jipange tu lol
 
Back
Top Bottom