Nimemuona Sabaya mahakamani leo, hakika anastahili huruma

Wandugu,leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.Ni kwamba ana Bandeji kichwani(nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri!!!huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli,asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Sawa

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Wandugu,leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.Ni kwamba ana Bandeji kichwani(nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri!!!huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli,asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Dunia duara,
Dunia tambara bovu,
Ubaya hulipwa hapahapa duniani,
What goes around, comes around,
Kijana aanze kwanza kwa kuwaomba msamaha wale aliowadhulumu na kuwaonea akiwa na madaraka.
Ataona wonders za Mungu.

Akikomaa , kesi haziishi ng'o!
 
Wandugu,leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.Ni kwamba ana Bandeji kichwani(nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri!!!huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli,asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Wapo wahalifu wengi wanaoumwa zaidi yake!! Msipende upendeleo wa kijinga kwawatu wahalifu waliotesa watu kwakutumia nafasi zao. Aendelee kuwa funzo kwa wajinga wengine wooote wanaojiinua kiputin nakutesa raia wasio na hatia.
 
Kama kweli alidhuru watu kwa maslahi yake binafsi na sifa za kisiasa aendeelee kuozea jela. Ila kama ilikuwa kwa maslahi ya umma atapata uponyaji wa Muumba mwenyezi Mungu.

Vijana mnapopewa nafazi za uongozi msiende kasi sana kuna leo na kesho, hii mifumo ni mali ya watu na inanetwork zake, game ikigeuka inakuumiza vibaya.
 
Wandugu,

Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.

Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.

Ahurumiwe sasa jamani uwiii [emoji22]
 
Kazi iendelee
 
kuna watu aliwakata vidole kumbuka
 
Basi hata wabakaji, wauaji, majambazi nao wasamehe watakuwa wamejifunza
 
Wandugu,

Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.

Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Sheria ya msamaha ipo? Ifanye kazi..
 
Ni kweli kashapasuliwa ile medulaoblongata yake
 
Jamaa akisamehewa basi na waiba kuku nao wasamehewe wamejutia makosa yao. We jamaa jela sio nyumba ya ukoo kwamba mnaweza kuingia na kutoka kirahisi.

Ni sehemu ya kumnyoosha mtu kiakili. Kwa kiburi cha Sabaya ilifaa awe amelambishwa "Thalium" mapema sana ili kuwaondolea watu machungu. Sabaya ni mtu mjivuni sana akiwa na wadhifa na kuona wenzie wote takataka, mwache aendelee kutubu.
 
Back
Top Bottom