Nimemuona Sabaya mahakamani leo, hakika anastahili huruma

Ahurumiwe sasa jamani uwiii [emoji22]
Ahurumiwe kwanza ndugu yangu aliokamatwa akila ndumu kwa starehe zake kisha kuswekwa lupango. Sio huyo muuaji alieishi kwa upanga kisa cheo chake cha kisiasa halafu kwenye kufa na upanga mnataka mumkingie kifua. SABAYA alimvimbia hadi mama SAMIA mnafikiri level yake ya Ego ilikuwa kubwa kiasi gani.
 
Wandugu,

Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.

Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Ndiyo mmepangwa kuja hapa kuanzisha thread za Sabaya kuumwa ili aonewe huruma? Inawezekana ni usanii tu na haumwi chochote.
 
Ahurumiwe kwanza ndugu yangu aliokamatwa akila ndumu kwa starehe zake kisha kuswekwa lupango. Sio huyo muuaji alieishi kwa upanga kisa cheo chake cha kisiasa halafu kwenye kufa na upanga mnataka mumkingie kifua. SABAYA alimvimbia hadi mama SAMIA mnafikiri level yake ya Ego ilikuwa kubwa kiasi gani.
Kuna kampeni ya kijinga sana ya kutaka etu mhalifu aonewe huruma. Tanzania jela na rumande zimejaa watuhumiwa na wahalifu. Haiwezekani tuchague mtuhumiwa mmoja tu asamehewe wakati kuna wengine wengi tena wenye makosa mepesi kabisa wanafia jela. Nina wasiwasi huo upasuaji mkubwa linaweza kuwa changa la macho baada ya kuhonga madaktari fedha alizopora kwa watu. Huyu ameshaona kesi inaenda vibaya kwake na ameamua kufanya chochote ili asalimike.
 
Wandugu,

Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.

Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Acha sheria ifuate mkondo. Ukitembelea magereza/mahabusu yetu utatamani kuwaachia wafungwa (watuhumiwa)wote maana bora huyo Sabaya kuliko hao wengine ambao hujawaona.
 
Kosa lake ni kuwataja waliomtuma angekufa kiume angekuwa zake uraiani kama bashite, bashite ashawaroga awamuwezi tena
 
Na wakitoka uendelea na uhalifu kama kawaida,
 
Wandugu,

Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.

Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Huyo bado mpk aje na bakora ndio tutamfikiria kima huyo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
huruma sio kwake peke yake.. kuna wafungwa wengi tu wanahali mbaya.. sio kwa sababu ni sabaya basi uje hapa utuoneshe huruma zako yeye apewe haki yake hapa duniani na mbinguni pia ikibidi
 
Kosa lake ni kuwataja waliomtuma angekufa kiume angekuwa zake uraiani kama bashite, bashite ashawaroga awamuwezi tena
Bashite alikua mtu wa ajabu Ila vile vile anaakili Sana Anajua Sana kucheza na akili za watu
 
Yaani asamehewe kisa umemuona kwenye hali hiyo!?
In short ni BADO. Yeye mmoja aliwatendea wengi zaidi ya hiki kinachomtokea.
Kama kweli una huruma anza na wote aliowatendea maovu!
 
Back
Top Bottom