Ahurumiwe kwanza ndugu yangu aliokamatwa akila ndumu kwa starehe zake kisha kuswekwa lupango. Sio huyo muuaji alieishi kwa upanga kisa cheo chake cha kisiasa halafu kwenye kufa na upanga mnataka mumkingie kifua. SABAYA alimvimbia hadi mama SAMIA mnafikiri level yake ya Ego ilikuwa kubwa kiasi gani.Ahurumiwe sasa jamani uwiii [emoji22]
Ndiyo mmepangwa kuja hapa kuanzisha thread za Sabaya kuumwa ili aonewe huruma? Inawezekana ni usanii tu na haumwi chochote.Wandugu,
Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.
Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Kuna kampeni ya kijinga sana ya kutaka etu mhalifu aonewe huruma. Tanzania jela na rumande zimejaa watuhumiwa na wahalifu. Haiwezekani tuchague mtuhumiwa mmoja tu asamehewe wakati kuna wengine wengi tena wenye makosa mepesi kabisa wanafia jela. Nina wasiwasi huo upasuaji mkubwa linaweza kuwa changa la macho baada ya kuhonga madaktari fedha alizopora kwa watu. Huyu ameshaona kesi inaenda vibaya kwake na ameamua kufanya chochote ili asalimike.Ahurumiwe kwanza ndugu yangu aliokamatwa akila ndumu kwa starehe zake kisha kuswekwa lupango. Sio huyo muuaji alieishi kwa upanga kisa cheo chake cha kisiasa halafu kwenye kufa na upanga mnataka mumkingie kifua. SABAYA alimvimbia hadi mama SAMIA mnafikiri level yake ya Ego ilikuwa kubwa kiasi gani.
Acha sheria ifuate mkondo. Ukitembelea magereza/mahabusu yetu utatamani kuwaachia wafungwa (watuhumiwa)wote maana bora huyo Sabaya kuliko hao wengine ambao hujawaona.Wandugu,
Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.
Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Mkimuhurumia nyie inatosha, ungeonekana mwema sana kama ungeanza kuwahurumia maelfu ya wafungwa (wenye matatizo mbalimbali) wanaotumikia vifungo vyao.Ahurumiwe sasa jamani uwiii [emoji22]
Na wakitoka uendelea na uhalifu kama kawaida,Acha sheria ifuate mkondo. Ukitembelea magereza/mahabusu yetu utatamani kuwaachia wafungwa (watuhumiwa)wote maana bora huyo Sabaya kuliko hao wengine ambao hujawaona.
Mi kila mara huuliza swali kama hilo, utaratibu wa kulambwa mboko za hukumu upoje?Hivi katika hukumu za awali hakuhukumiwa viboko kabla ya kulala na anapoamka asubuhi?Jamaa ni mkebe tena kinyangalakata.
Huyo bado mpk aje na bakora ndio tutamfikiria kima huyoWandugu,
Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.
Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani alifanyiwa Operation ule uvimbe wake) na hali yake kiafya inaonekana kabisa sio nzuri. Huyu dogo naamini amejifunza sana kwa kweli, asamehewe tu lakini wale wote waliodhulumiwa kwa namna yoyote walipwe tu fidia.
Wao pia nawahurumia!Mkimuhurumia nyie inatosha, ungeonekana mwema sana kama ungeanza kuwahurumia maelfu ya wafungwa (wenye matatizo mbalimbali) wanaotumikia vifungo vyao.
Bashite alikua mtu wa ajabu Ila vile vile anaakili Sana Anajua Sana kucheza na akili za watuKosa lake ni kuwataja waliomtuma angekufa kiume angekuwa zake uraiani kama bashite, bashite ashawaroga awamuwezi tena