Nimemuona trump na familia yake yote, mpaka wajukuu na pia wakwe

Nimemuona trump na familia yake yote, mpaka wajukuu na pia wakwe

Wanaotaka labda tuwe na rais asiye na kwao wala ndugu wala baba na mama wala mme au mke au watoto wala familia, basi watwambie ttutampata wapi?

Ukweli haunin'ginii, ni lazima utaegemea tu, ni lazima kuwe na damu yako kwenye usalama zaidi

Lazima tuwe na royal family, ebho
Umemuona wapi wakati we upo Nyandira?
 
Siku hizi kila kitu simu..

Masuala ya Benki - Simu

Ulipaji Kodi - Simu
Kufuatilia Uhalifu - Simu
Kufuatilia Mahusiano - Simu
Utoaji Maoni Dira Ya Taifa - Simu

Mwaka 2025 tutashuudia mageuzi makubwa ya upigwaji wa kura ambapo mpigaji kura atatumia simu yake ya mkononi kupiga simu Hasa ukizingatia wanaomiliki simu wapo zaidi ya milioni 53.1.

Hakika Ndani Ya Siku 3 Matokeo Ya Uraisi Yatakuwa Yameshatangazwa.
1730890327435.png
 
1730890358395.png
 
Wanaotaka labda tuwe na rais asiye na kwao wala ndugu wala baba na mama wala mme au mke au watoto wala familia, basi watwambie ttutampata wapi?

Ukweli haunin'ginii, ni lazima utaegemea tu, ni lazima kuwe na damu yako kwenye usalama zaidi

Lazima tuwe na royal family, ebho
ubaya uko upande gani gentleman 🐒
 
Kwanini kamala asaidiwe na wanafamilia baadhi ya majukumu?
Kuna watu walihoji sana hasa alipokwenda uganda
kumfananisha very powerful president, tena mfanyibiasha mkubwa na mashuhuri sana duniani kama Donald Trump na just honest makamu wa Rais,!

Mh ni vitu viwili tofauti sana kama ardhi na mbingu kwenye mahitaji 🐒
 
Back
Top Bottom