Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
He he he he dada unaumwa malaria nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeniudhiii. Napata hasira kwa niaba yako.

Ningemjib text "bado hujajua kumkatia viuno vizuri ongeza bidii na mimi mama nyuki nitatop up"

Unalaaje kizembe hv[emoji23][emoji23]
Demu wangu alileta kiherehere cha kuiba namba ya chepuko langu kwa siri na kumtumia sms za utopolo kilichofuata alichambwa hadi akaja kunilalamikia!

Kesi ilisha kizembe sana ile kwa mtuhumiwa kukana shitaka 😀😀😀 na kumalizika na penzi motomoto!
 
Huwajui wanaume Miss😂😂 hawa viumbe hata upande dirishani ufanye kama unaidondokea bado atatoka akatafute inayolala tu kama yule manzi wa Gwajima maana hizo zako atakuja kuziona kama vurugu tu
Mie napenda kama yule wa gwajima😂😂😂 heka heka za kazi gani? Atoe miguno tu hata akiwa gogo sio ishu
 
Amini nakuhakikishia wewe ni mwepesi mno, hapa unaandika tu but huna zaidi ya kukubali matokeo. Tafiti zinaonyesha wanawake wenye misimamo Kama yako huwa hawana ujanja wowote kwa mwanaume.
Hahah mwanamke mwenye maneno mengi huwa katika vitendo 0! Hapa wanaongea tu ila mume akichepuka wanalia lia tu huko kwenye maisha halisi 😂😂😂 tena huwa ving’ang’anizi kinoma! Wanamcheka mtoa mada ila approach zao ni zile zile tu ku bow down!
 
😂😂😂😂😂 hii kiboko kudadadeq
 
Hongera sana dada. Naomba nikutumie zawadi kwa sababu umeonesha ukomavu wa hali ya juu. Usingekuwa umeolewa I could find you.

NB: Tafadhali naomba unijulishe namna ya kukupa zawadi yako dada.
Baharia at work 😂😂😂 intelijensia yako ni level ingine bro!
 
Hahaha ndioo. Kwasababu tu wana vyeti. I cannot feel comfortable sehem najua sipendwi and am not recognised. I quit. Napaswa kutambua ya kwamba mimi ni wa thamani sana kabla ya mtu mwingineyo yeyote hajaniambia hilo.
Kuolewa unaona hujathaminiwa?
 
Daah ila mabinti wa kichaga aisee..!! Unajua hadi betting
Tunawaza mbesa muda wote [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kiboko kudadadeq
we mpaka kufikia kuombana sapoti za biashara si inamaana mume wangu ni danga, sasa na mimi nirudishe hata ef50 nanunua kitimoto na wine safi mwanangu juice box zima yani sikuhio mume wangu akirudi anakuta kodi ya meza ipo palepale halafu nyumbani watu wanajisosomola hela katuma hawara ake [emoji23][emoji23][emoji23] halafu tunamuwekea NAHESHIMU MADANGA YA MUME WANGU
 
Hahahahahahah
 
Kama akipata demu wa kizungu aende nae MALDIVES haki sikuhio atapasuka kwa hasira halafu tunamuwao ooh baby Have you been well ?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii strategy ni fujo isioumiza 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…