Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Utajuaje sasa? Kwani mimi ni mjinga niruhusu ujue? Nitatumia mbinu zangu za kijasusi.
Na sio lazima nifanye nae kila siku, hata mara moja kwa mwezi inatosha. Tukikutana nahakikisha amenisugua haswaa, na nampa hadi ile popo kanyea mbingu na ile ya kuingia uvunguni. Nikitoka hapo nyege zote zimeisha nitamtafuta mwezi ujao tena. Na simu hatupigiani.
Mkuu, sikio halijawahi kuzidi kichwa. Utadakwa fasta tu.
'Ndege mjanja hunaswa kwa tundu bovu...'
 
Ilibidi na nyie mfanyiwe jambo ili mtulie kwenye ndoa zenu.

Tungekua na hiyo namna ningekua wa kwanza kuitumia, maana wanawake nyie mnavyotushawishi kila siku, mara mvae mpasuo, matiti yote nje nje, mara sketi fupi, mara nguo zinazobana yadi misambwada inachomoza hadi tu yaani, ifahamike wanaume tulivyoumbwa huwa tunavutiwo na mlivyo, isingekua hivyo hatungeendeleza vizazi, yaani tunavutiwa na kuwatia mimba. Sasa tatizo huko kuvutiwo hamna namna ya kuzuia kubaki tu ndani ya mkeo, unavutiwo na kila mwanamke huko nje, sema tu tunahangaika kuji-control, la sivyo tungekua kama kuku na jogoo, unaparamia kila unayepishana naye.

Kila siku napishana na warembo, nahangaika mara niangalie chini, mara nijaribu kupotezea ila ndio hivyo najikuta mara moja uzalendo umenishinda namlaza mmoja.

Ningekua na sindano nayojidunga au tembe za kumeza kabla kutoka asubuhi, ambazo zitanisaidia kila nikipishana na mwanamke nisivutiwe naye au hata kumtamani hadi jioni ninaporudi ndani ndio nimeze ili nivutiwe na mke wangu, mbona ningekua natumia kila siku, lakini kwa sasa hamna namna.
 
Hivi hamna wanaume ambao hawachepuki? Inamaana hao wanawezaje na nyie mnashindwaje?
 
Ndicho nilichopanga mkuu. Tumetoka mbali na my husbandhuu mchepuko wala sina time nao maana kwanza najiamini kwa kila idara so hata kama ameamua kuchepuka ni vile ubinadamu tuu na nature vimemfosi. Nataka nikazane kumuombea tuu asije pata madhara
Wew ni mwanamke mwelewa sana kumbe eeh. Mfundishe na Hannah naye abadili msimamo, naona yeye kajipanga kupambana na mwanaume.

Hajui kuwa mwisho wa siku mwanamke ndo luza
 
Sasa utapambana na mwanaume ambaye amegonga nje tu ila anahudumia familia yake vyema. Sometimes huwa mnajitaftiaga mabalaa nyie wenyewe tu. Mtii mumeo na ukae kwa kutulia bidada!

Mwanaume akitimiza majukumu yake kwa ufasaha swala la yeye kuonja wanawake wa nje halikwepeki na mwanaume akiwa na hela ndio hayo hutokea. Kama unataka mwanaume asiyegonga nje tafta wa kusaidiana nae maisha hao ndio huwa wanakabaga papuchi moja tu ila ukitaka wa kuprovide 100% ukae ukijua ata provide hata kwa wenzio pia!

Kila kitu kina gharama zake, ukitaka mwenye hela jua kuna wengi pia wanamtaka soko gumu jamani! The same applies kwetu ukimtaka KE mrefu mweupe mwenye baby face hips na tako guu la haja hapo kuna wakware 100 nao wanafukuzia! Tunda amemtesa sana WHOZU kihisia sio bure sababu ana mvuto ambao kila dume linautamani hivyo kwa demu kama yule kugombania na wenzio ni kawaida.

Hebu koma uishie hapo hapo unaniletea mifano ya wazinzi mie.

Tatizo ni njaa inawasumbua wengi na ndio maana mnaishia kuendekeza umalaya.Mkipata vipesa kidogo mnahashukwa hamfikirii hata familia zenu!
Ndio maana nchi iko nyuma kimaendeleo ni kwasababu watu hawafikirii mambo ya msingi ya kujenga zaidi ya umaluuni!

Na mara nyingi mtu akiwa busy na mambo ya maana hana time na upuuzi huu.A real guy dont do what you say!
Na mtu ukimpenda kwa dhati huwezi kumtenda ever,kila mtu na mtuwe bwana hababuu!

Mbona nchi nyingine zilizoendelea hakuna huu ujinga,mtu anakuwa na mtu mmoja na anatulia vyema kabisa hakuna danga wala nini.Mkichokana au mkicheat mnabwagana ni dalili tosha kwamba hamuendani au mapenzi kwishnei.

Halafu usimdanganye huyo dada avumulie ujinga kisa ww mwanaume.Wanaume wote hawako hivo ila wenye akili kama zako tu na ndio jamii kubwa mnaotetea uzinzi,ikisha nyienyie mtaenda kumponda mwanamke akipata mimba isotarajiwa au na yeye akicheat kama nyie, hivi nyie mnajiona malaika au mvuruge tu ikisha msiambiwe?kila uzito/lawama mnataka mumbebeshe mwanamke kwasababu ye ndio mnyonge wenu ehhhh....Siku hizi hatutaki huo ujinga kwa taarifa yako!
 
This kind of thinking; so last century. Geez

Hivi ni nani aliyewaambia kuwa mwanaume akihudumia familia yake kwa ufasaha then ana haki ya kuchepuka? Kwani kuhudumia familia ni wajibu wa nani hadi ionekane kana kwamba akikuhudumia he is doing you a lot of favor, so allow him to cheat on you peacefully? HUfanyii hisani familia yako kwa kuihudumia,otherwise usiwe tu na familia, baki huku nje udangwe. Na ni familia ngapi ambazo wamama ndiyo wanahudumia na waume zao bado ni vitombi? Na mnavyojishaua humu, hutadhani wote mna helaa so hata wake zenu hawawa-assist kwa chochote.

Mume kutimiza wajibu wake kwa familia includes being faithful to them. Unapochepuka ni unawaumiza mkeo na watoto hata kama evrything seems ok. Unapokwenda kuchepuka na michepuko yako; unaiibia familia yako hela zao, upendo wao, muda wao zaidi ya yote spiritually you are tearing down your family; kwenye uzinzi hakuna ndoa period. Come to think ukileta magonjwa humo ndani ukamuambukiza mkeo, hujaumiza watoto wako? Ni michepuko mingapi inayo-attempt kuua hadi wake wa ndoa ili iolewe yenyewe? Juzi @Evely Salt kashuhudia kabisa rafiki yake aliuawa na mchepuko wa baba yake. Is that ok to any sane man? Ukizaa watoto nje, is it fair kwa mkeo na watoto wako wa ndani? Mwisho wa siku unategemea kuwa na familia ya amani? You guys recieve some sense IJN
Sasa utapambana na mwanaume ambaye amegonga nje tu ila anahudumia familia yake vyema. Sometimes huwa mnajitaftiaga mabalaa nyie wenyewe tu. Mtii mumeo na ukae kwa kutulia bidada!

Mwanaume akitimiza majukumu yake kwa ufasaha swala la yeye kuonja wanawake wa nje halikwepeki na mwanaume akiwa na hela ndio hayo hutokea. Kama unataka mwanaume asiyegonga nje tafta wa kusaidiana nae maisha hao ndio huwa wanakabaga papuchi moja tu ila ukitaka wa kuprovide 100% ukae ukijua ata provide hata kwa wenzio pia!

Kila kitu kina gharama zake, ukitaka mwenye hela jua kuna wengi pia wanamtaka soko gumu jamani! The same applies kwetu ukimtaka KE mrefu mweupe mwenye baby face hips na tako guu la haja hapo kuna wakware 100 nao wanafukuzia! Tunda amemtesa sana WHOZU kihisia sio bure sababu ana mvuto ambao kila dume linautamani hivyo kwa demu kama yule kugombania na wenzio ni kawaida.

Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
 
Wew ni mwanamke mwelewa sana kumbe eeh. Mfundishe na Hannah naye abadili msimamo, naona yeye kajipanga kupambana na mwanaume.

Hajui kuwa mwisho wa siku mwanamke ndo luza
Kama hiyo ndio maana halisi ya "mwanamke mwelewa" inipite tu kushoto. Yaani unifanyie ujinga halafu utagemee nielewe ujinga wako?
Unioe halafu ukazini nje nikuelewe eti kisa unatunza familia yako vizuri? Sina huruma katika hilo na dawa ya moto ni moto.
 
Sasa utapambana na mwanaume ambaye amegonga nje tu ila anahudumia familia yake vyema. Sometimes huwa mnajitaftiaga mabalaa nyie wenyewe tu. Mtii mumeo na ukae kwa kutulia bidada!

Mwanaume akitimiza majukumu yake kwa ufasaha swala la yeye kuonja wanawake wa nje halikwepeki na mwanaume akiwa na hela ndio hayo hutokea. Kama unataka mwanaume asiyegonga nje tafta wa kusaidiana nae maisha hao ndio huwa wanakabaga papuchi moja tu ila ukitaka wa kuprovide 100% ukae ukijua ata provide hata kwa wenzio pia!

Kila kitu kina gharama zake, ukitaka mwenye hela jua kuna wengi pia wanamtaka soko gumu jamani! The same applies kwetu ukimtaka KE mrefu mweupe mwenye baby face hips na tako guu la haja hapo kuna wakware 100 nao wanafukuzia! Tunda amemtesa sana WHOZU kihisia sio bure sababu ana mvuto ambao kila dume linautamani hivyo kwa demu kama yule kugombania na wenzio ni kawaida.

Ubora wa mwanaume ni kutimiza majukumu tu?
Ambayo hata tukiwa wenyewe tunaweza kutimiza?!
 
Hizi ndio kauli za kumfikirisha msela, they are not offensive but they are tactical!

Au aseme ameona na amefahamu ila yeye na mwanae bado wanahitaji sana furaha ya kuwa na baba wa familia anaewathamini wasingependa kuona hilo linafikia ukomo au wanapitia katika wakati mgumu katika namna yeyote ile atafakari juu ya dhamira ya muungano wao kama familia. Kama kuna changamoto zozote ni muda muafaka wa kuzitatua.

Hapa hata kama uwe kidume vipi lazma utepete.

Hapa kidogo umeongea point
 
Nakupa na wewe ukapige mbizi kwenye cum za mwenzako kama ulivyokuwa unakuja kusuuza UTI za mchepuko wako kwangu.
Hahahahah ila si unaiosha kwanza😂 dah we ni mtata sana! Sema maku iliotoka kupigwa huwa ina hali flani ya ajabu yani inakuwaga mbichi sana full utelezi hata ikioshwa na doffy huwa na hali hio tu! Staki kukumbuka yani 😅😅😅
 
Ndio wawe tofauti pia na kweli wengi wa kuchepuka hufanikiwa Sana kuliko wa ndoani pia ni equalizer ya ndoa kutokuvunjika maana na wewe sio msafi hata mumeo akiwa na makando una msamehe ila ukiwa mwaminifu kwenye mahusiano chance ya kufa hayo mahusiano ni 97%
Una neutralize
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom