This kind of thinking; so last century. Geez
Hivi ni nani aliyewaambia kuwa mwanaume akihudumia familia yake kwa ufasaha then ana haki ya kuchepuka? Kwani kuhudumia familia ni wajibu wa nani hadi ionekane kana kwamba akikuhudumia he is doing you a lot of favor, so allow him to cheat on you peacefully? HUfanyii hisani familia yako kwa kuihudumia,otherwise usiwe tu na familia, baki huku nje udangwe. Na ni familia ngapi ambazo wamama ndiyo wanahudumia na waume zao bado ni vitombi? Na mnavyojishaua humu, hutadhani wote mna helaa so hata wake zenu hawawa-assist kwa chochote.
Mume kutimiza wajibu wake kwa familia includes being faithful to them. Unapochepuka ni unawaumiza mkeo na watoto hata kama evrything seems ok. Unapokwenda kuchepuka na michepuko yako; unaiibia familia yako hela zao, upendo wao, muda wao zaidi ya yote spiritually you are tearing down your family; kwenye uzinzi hakuna ndoa period. Come to think ukileta magonjwa humo ndani ukamuambukiza mkeo, hujaumiza watoto wako? Ni michepuko mingapi inayo-attempt kuua hadi wake wa ndoa ili iolewe yenyewe? Juzi @Evely Salt kashuhudia kabisa rafiki yake aliuawa na mchepuko wa baba yake. Is that ok to any sane man? Ukizaa watoto nje, is it fair kwa mkeo na watoto wako wa ndani? Mwisho wa siku unategemea kuwa na familia ya amani? You guys recieve some sense IJN
Sent from my SM-P601 using
JamiiForums mobile app