Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Ukiolewa na ukawa na watt utamuelewa mtoa mada
Ndugu, tumetifautiana. Na muda uendavyo mambo hubadilika. Afya yako ndiyo mtaji wako. Mnakua wepesi kunena haya ila mabinti zenu wakiwa wananyanyasika ndo mnakuaga wa kwanza kuwafata na magleda kwa waume zao kuwarudisha home. Tumetofautiana. Afya yangu furaha yangu. Ni muda tu atarejea tena. Ndo maana amesema hamaliizi maneno yote na nimenwelewa. She is giving it a try kwakua ndo kamshika 1st time. Pia haimaanishi maybe ndo 1st time kwa jamaa kucheat.
 
Hahahahah halafu mumeo unaendelea kumhudumia kama kawaida au ndio unaanza “hebu niache bana”...”huoni mtu amechoka au”...”Ntakupa asubuhi”...”Nikilala staki usumbufu” [emoji23][emoji23][emoji23] wanawake kmnnr kabisa! Hapo kidume unajua kabisa kuna mtu anachezea utelezi wa mkeo.

Hujatujua vizuri
Tukianza kuchepuka huwa tunatoa mechi vizuri kuliko kawaida
 
Ubaya mwanamke akihamisha penzi anahamisha na hisia hivyo utashikwa mchana kweupe kabisa! Yale majibu ya shombo utayokuwa unamjibu na kiburi cha kuficha ficha simu na password lukuki na kauli za kuchoka kutoa tunda kila wakati ni redflag kwa wandewa kama mimi ntajua tu ushaanza kutiwa nje!

Ukifikia hapo uwe umeshajiandaa kuhamia kwa huyo bwege nazi wako unayempelekea mbususu! Maana ni eviction notice itakuhusu the moment nimejua tu. Akili ikija kurudi tayari umepoteza 9 yrs marriage kwa hasira za kijinga ukachepuka na boda boda wako [emoji23] badala ya kutumia approach ya hekima kutafta suluhu ya matatizo ya mumeo!
Yaan ktk kutatua ujinga wenu ndo mnataka amani ila kwa sisi ndo retaliation[emoji23][emoji23][emoji23]

Maniooo
 
Tungekua na hiyo namna ningekua wa kwanza kuitumia, maana wanawake nyie mnavyotushawishi kila siku, mara mvae mpasuo, matiti yote nje nje, mara sketi fupi, mara nguo zinazobana yadi misambwada inachomoza hadi tu yaani, ifahamike wanaume tulivyoumbwa huwa tunavutiwo na mlivyo, isingekua hivyo hatungeendeleza vizazi, yaani tunavutiwa na kuwatia mimba. Sasa tatizo huko kuvutiwo hamna namna ya kuzuia kubaki tu ndani ya mkeo, unavutiwo na kila mwanamke huko nje, sema tu tunahangaika kuji-control, la sivyo tungekua kama kuku na jogoo, unaparamia kila unayepishana naye.

Kila siku napishana na warembo, nahangaika mara niangalie chini, mara nijaribu kupotezea ila ndio hivyo najikuta mara moja uzalendo umenishinda namlaza mmoja.

Ningekua na sindano nayojidunga au tembe za kumeza kabla kutoka asubuhi, ambazo zitanisaidia kila nikipishana na mwanamke nisivutiwe naye au hata kumtamani hadi jioni ninaporudi ndani ndio nimeze ili nivutiwe na mke wangu, mbona ningekua natumia kila siku, lakini kwa sasa hamna namna.
Macho hayana pazia hata mimi nikiona kizuri nakiangalia kuna watu kweli wamejaaliwa kudra zote za Mungu ,angalia kwa macho ikisha matamanio yako kamalizie kwa mkeo!
 
Demu wangu alileta kiherehere cha kuiba namba ya chepuko langu kwa siri na kumtumia sms za utopolo kilichofuata alichambwa hadi akaja kunilalamikia!

Kesi ilisha kizembe sana ile kwa mtuhumiwa kukana shitaka [emoji3][emoji3][emoji3] na kumalizika na penzi motomoto!
Sifanyagi ujinga kumtafuta mchepuko kwa sim yangu. Matumia ya huyohuyo mshenz mwenzie. Halaf kama ni mdomo tuu wa bibi mbona ninao nikitaka[emoji23][emoji23]
 
Ubora wa mwanaume ni kutimiza majukumu tu?
Ambayo hata tukiwa wenyewe tunaweza kutimiza?!
Majukumu sindio kitu cha msingi mnasemaga wenyewe humu raha ya mwanaume akuhudumie! Maana mkiachiwa mpambane wenyewe mnaonaga mziki mnene mnaishia kulia lia hovyo, mkipigwa mkuyenge tu mapenzi motomoto mnalalamika ooh mwanaume suruali mara marioo simtaki! Mkipata wenye hali nzuri kiuchumi mnalalamika kwani majukumu ni kuhudumia nyumba tu? Sasa tuwaeleweje wenzetu😅😅😅? Mume unaye anakulisha na kukuvisha na kukutwanga mguu kati shida ipo wapi?
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Mwache awe na huyo mchepuko wake, mimi na wewe tutafutane basi.
 
Kuolewa unaona hujathaminiwa?
Khee.. ndo kuthaminishwa hukk? Wengine wanaoa kwaajili umri umesoge, kupata nafasi za ajira hada kuwa promoted, wengine mashoga ili waonekane tu kamili etc. Wengine kukomoana. So hiyo siyo thamani. Jinsi munavyoiishi hiyo ndoa ndo thaman. Unanioa halaf uje kuninyanyada ndo kunithaminisha?
 
Afu what makes you think kila mwanamke asiyehalalisha kuchepuka ni hajaolewa au kuachika? You think all women have such a retarded mind? Some of us don't settle for such nonsense. Ni kwa sababu mfumo dume umewapa haki ya kuchepuka basi mnaona ni sawa tu, na mwanamke yeyote aliye kinyume na nyie basi hafai kwa ndoa pyeeeeeeeeeeee

Hii excuse ya kusema ukiwa na watoto ndiyo utavumilia tu ujinga wowote wa mumeo kwa ajili ya watoto; si kweli. Mtu yeyote ambaye kweli anawaza welfare na future ya watoto wake; will never settle for a serial cheating husband. You are not doing your kids any favor by allowing their father to cheat on you and on them. Tunavumilia tu maana tunajua tukitoka tu tutaambiwa "mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake" blah blah blah. But honestly, kuchepuka kwa baba, in no time kutaleta madhara kwa watoto tu. Imagine mama ambaye amejaa uchungu juu ya mume wake anayechepuka; atatoa nini ndani yake kama sio uchungu tu kwa watoto wake? Labda ifike stage mwanamke aseme nimechoka na huyu bwana; tunatengana humu ndani ila tunalea tu watoto. Au mwingine na yeye anaenda kusuuza nafsi nje, akirudi anakupokea kwa mapambio, basi mnanafikiana kwa amani. Ila sisi wa kujifanya "utaacha wangapi, wanaume wote ni sawa" (shindwa katika jina la Yesu, wangu hafanani na wa mtu); ndiyo sasa tumeshakuwa sugu wa magonjwa ya presha na depression na harara za magonjwa sugu tuliyoletewa na hawa wenzetu. Ten ujanani wanadangwa wee, wanatelekeza hadi familia, ila wakishafulia huko uzeeni apeche alolo na magonjwa juu, ndiyo hao ooh mke wangu nisamehe hehehhee

Mithali 6:26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Sasa siwezi nikakaa chini nikakituliza wakati baba watoto anaiangamiza nafsi yake; zaidi ya yote sitokuja kuchekelea huo ujinga wakati watoto wangu watakuja wakose hata vipande vya mkate. Eeh Mungu unisaidie
Ukiolewa na ukawa na watt utamuelewa mtoa mada
Mi nikushauri tu kiutu uzima, hawa wenzio wengi hawajaolewa humu na wachache wameachika. Ndio maana ni wepesi kukupa ushauri wa kushupaza shingo. Ndoa ni kitu complex zaidi!

Akili ya kumfanyia vurugu mumeo ama kuanza kukigawa nje ili umkomoe ndio itachochea balaa zaidi! Kwa hekima tu hakikisha umemwambia kuwa umefahamu anachofanya huko nje na mipango yake ila unatambua kuwa yeye ni mtu mzima anayejitambua na kuelewa ni nini maana ya muunganiko mlio nao kama familia...Kisha muache hili ahangaike nalo kichwani. Kama wewe sio chanzo cha yeye kuanza kuhangaika nje atajistukia na ataacha straight away ila kama wewe ndie chanzo kwa namna moja ama nyengine basi response inaweza isiwe nzuri.

Ila akili ya kuanza kuachia tobo vijana wajipigie sio akili sahihi we kaa zako tulivu endelea na maisha kama kawaida kisha utaona muelekeo wake kama you treat him right atajirudi bila kelele. Shida ya wake zetu ni mazoea yani unakuwa mdomo mchafu na mvivu kutoa mbususu kwa wakati ndio washua tunaanza saka matundu mengine kitaa.
 
Wananichekeshaga na definitions zao za mke mwelewa na mkomavu teh teh teh
Kama hiyo ndio maana halisi ya "mwanamke mwelewa" inipite tu kushoto. Yaani unifanyie ujinga halafu utagemee nielewe ujinga wako?
Unioe halafu ukazini nje nikuelewe eti kisa unatunza familia yako vizuri? Sina huruma katika hilo na dawa ya moto ni moto.
 
Khee.. ndo kuthaminishwa hukk? Wengine wanaoa kwaajili umri umesoge, kupata nafasi za ajira hada kuwa promoted, wengine mashoga ili waonekane tu kamili etc. Wengine kukomoana. So hiyo siyo thamani. Jinsi munavyoiishi hiyo ndoa ndo thaman. Unanioa halaf uje kuninyanyada ndo kunithaminisha?
Unatunzwa sasa huko ni kunyanyaswa mrembo! Ishi kwenye ndoa ukijua cha pekeako kaburi tu
 
Afu what makes you think kila mwanamke asiyehalalisha kuchepuka ni hajaolewa au kuachika? You think all women have such a retarded mind? Some of us don't settle for such nonsense. Ni kwa sababu mfumo dume umewapa haki ya kuchepuka basi mnaona ni sawa tu, na mwanamke yeyote aliye kinyume na nyie basi hafai kwa ndoa pyeeeeeeeeeeee

Hii excuse ya kusema ukiwa na watoto ndiyo utavumilia tu ujinga wowote wa mumeo kwa ajili ya watoto; si kweli. Mtu yeyote ambaye kweli anawaza welfare na future ya watoto wake; will never settle for a serial cheating husband. You are not doing your kids any favor by allowing their father to cheat on you and on them. Tunavumilia tu maana tunajua tukitoka tu tutaambiwa "mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake" blah blah blah. But honestly, kuchepuka kwa baba, in no time kutaleta madhara kwa watoto tu. Imagine mama ambaye amejaa uchungu juu ya mume wake anayechepuka; atatoa nini ndani yake kama sio uchungu tu kwa watoto wake? Labda ifike stage mwanamke aseme nimechoka na huyu bwana; tunatengana humu ndani ila tunalea tu watoto. Au mwingine na yeye anaenda kusuuza nafsi nje, akirudi anakupokea kwa mapambio, basi mnanafikiana kwa amani. Ila sisi wa kujifanya "utaacha wangapi, wanaume wote ni sawa" (shindwa katika jina la Yesu, wangu hafanani na wa mtu); ndiyo sasa tumeshakuwa sugu wa magonjwa ya presha na depression na harara za magonjwa sugu tuliyoletewa na hawa wenzetu. Ten ujanani wanadangwa wee, wanatelekeza hadi familia, ila wakishafulia huko uzeeni apeche alolo na magonjwa juu, ndiyo hao ooh mke wangu nisamehe hehehhee

Mithali 6:26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Sasa siwezi nikakaa chini nikakituliza wakati baba watoto anaiangamiza nafsi yake; zaidi ya yote sitokuja kuchekelea huo ujinga wakati watoto wangu watakuja wakose hata vipande vya mkate. Eeh Mungu unisaidie
Nachojua mumeo uliompata kwa tabu huwezi kumletea fyoko! Tena ukimpata wa nyumbani huko hao ndo balaa kwa mitoto ya nje 😂😂😂!!! Kina Mwaisa na tabia zao ukiwa na makasiriko namna hii mtawezana kweli?
 
Yaan ktk kutatua ujinga wenu ndo mnataka amani ila kwa sisi ndo retaliation[emoji23][emoji23][emoji23]

Maniooo
Eeh sasa kama ilisemwa mwanamke haachwi isipokuwa kwa umalaya tuwafanyaje mkishafanya umalaya?
 
This kind of thinking; so last century. Geez

Hivi ni nani aliyewaambia kuwa mwanaume akihudumia familia yake kwa ufasaha then ana haki ya kuchepuka? Kwani kuhudumia familia ni wajibu wa nani hadi ionekane kana kwamba akikuhudumia he is doing you a lot of favor, so allow him to cheat on you peacefully? HUfanyii hisani familia yako kwa kuihudumia,otherwise usiwe tu na familia, baki huku nje udangwe. Na ni familia ngapi ambazo wamama ndiyo wanahudumia na waume zao bado ni vitombi? Na mnavyojishaua humu, hutadhani wote mna helaa so hata wake zenu hawawa-assist kwa chochote.

Mume kutimiza wajibu wake kwa familia includes being faithful to them. Unapochepuka ni unawaumiza mkeo na watoto hata kama evrything seems ok. Unapokwenda kuchepuka na michepuko yako; unaiibia familia yako hela zao, upendo wao, muda wao zaidi ya yote spiritually you are tearing down your family; kwenye uzinzi hakuna ndoa period. Come to think ukileta magonjwa humo ndani ukamuambukiza mkeo, hujaumiza watoto wako? Ni michepuko mingapi inayo-attempt kuua hadi wake wa ndoa ili iolewe yenyewe? Juzi @Evely Salt kashuhudia kabisa rafiki yake aliuawa na mchepuko wa baba yake. Is that ok to any sane man? Ukizaa watoto nje, is it fair kwa mkeo na watoto wako wa ndani? Mwisho wa siku unategemea kuwa na familia ya amani? You guys recieve some sense IJN

Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Madamme, nikutumie parcel kwa bodaboda ama basi lipi[emoji23][emoji23]

Yaan vinavyoongeaga humu utafikiri vina hela vyote[emoji706][emoji706] nani asiyejua majority ya families ni wanawake wanahudumia. Na kwa hela gani walizo nazo. Wanashupazaga shingooo. Eti kwakua unahudumiwa ndo iwe ticket ya kucheatiwa. Unyanyaswe umerishika kwakua mume anahudumia. Vijana wamekua mchelemchele kweli. Mngejua tunavyowadharau basi tu. Majukumu hamtaki mnataka maisha mazuri na sent tano hamna. Kazi kudanga tu. Kuhamisha kwa mke kupeleka kwa michepuko. Halaf malipo ni kumuumiza kwa hela zake na mapenz yale kwkao na maradhi juu. So suala la kuhudumia mukae kwa kutulia. Na mnalijua hilo.

Mnataka nani ahudumie familia? Au nyie ndo mumeolewa?
 
Mimi na mume wangu wote tumepatana kwa tabu; kila mtu kapambana kweli kuhakikisha yeye ndiyo anatangazwa pale madhabahuni. So kila mtu anamtreat mwenzie kwa heshima as hataki kumpoteza: tunaijua thamani ya kila mmoja wetu. Hakuna aliyemfanyia favor mwenzie kwa kuwa naye.
Nachojua mumeo uliompata kwa tabu huwezi kumletea fyoko! Tena ukimpata wa nyumbani huko hao ndo balaa kwa mitoto ya nje [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Kina Mwaisa na tabia zao ukiwa na makasiriko namna hii mtawezana kweli?
 
Mimi na mume wangu wote tumepatana kwa tabu; kila mtu kapambana kweli kuhakikisha yeyendiyo anatangazwa pale madhabahuni. So kila mtu anamtreat mwenzie kwa heshima as hataki kumpoteza: tunaijua thamani ya kila mmoja wetu. Hakuna aliyemfanyia favor mwenzie kwa kuwa naye.
Hongera sana mkuu cha uchungu huwa kinathaminiwa! Nawatakia heri na mafanikio katika ndoa yenu muendelee kuheshimiana msije anza mazoea mkakwazana!
 
Afu what makes you think kila mwanamke asiyehalalisha kuchepuka ni hajaolewa au kuachika? You think all women have such a retarded mind? Some of us don't settle for such nonsense. Ni kwa sababu mfumo dume umewapa haki ya kuchepuka basi mnaona ni sawa tu, na mwanamke yeyote aliye kinyume na nyie basi hafai kwa ndoa pyeeeeeeeeeeee

Hii excuse ya kusema ukiwa na watoto ndiyo utavumilia tu ujinga wowote wa mumeo kwa ajili ya watoto; si kweli. Mtu yeyote ambaye kweli anawaza welfare na future ya watoto wake; will never settle for a serial cheating husband. You are not doing your kids any favor by allowing their father to cheat on you and on them. Tunavumilia tu maana tunajua tukitoka tu tutaambiwa "mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake" blah blah blah. But honestly, kuchepuka kwa baba, in no time kutaleta madhara kwa watoto tu. Imagine mama ambaye amejaa uchungu juu ya mume wake anayechepuka; atatoa nini ndani yake kama sio uchungu tu kwa watoto wake? Labda ifike stage mwanamke aseme nimechoka na huyu bwana; tunatengana humu ndani ila tunalea tu watoto. Au mwingine na yeye anaenda kusuuza nafsi nje, akirudi anakupokea kwa mapambio, basi mnanafikiana kwa amani. Ila sisi wa kujifanya "utaacha wangapi, wanaume wote ni sawa" (shindwa katika jina la Yesu, wangu hafanani na wa mtu); ndiyo sasa tumeshakuwa sugu wa magonjwa ya presha na depression na harara za magonjwa sugu tuliyoletewa na hawa wenzetu. Ten ujanani wanadangwa wee, wanatelekeza hadi familia, ila wakishafulia huko uzeeni apeche alolo na magonjwa juu, ndiyo hao ooh mke wangu nisamehe hehehhee

Mithali 6:26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani

Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Sasa siwezi nikakaa chini nikakituliza wakati baba watoto anaiangamiza nafsi yake; zaidi ya yote sitokuja kuchekelea huo ujinga wakati watoto wangu watakuja wakose hata vipande vya mkate. Eeh Mungu unisaidie
Ni ujinga kama huu ndo wana kazi ya kutuambia sisi siyo wife materials. Na si kila jambo litokee mpaka uwe kwenye hiyo scenario. Wanapaswa kujua kila mtu ana standards na limits katika maisha yake. Let it be mtu ameolewa ama lah. Hauvumiliki ujinga ili uonekane mwnaanke bora hapana. Mwanamke bora ni pamoja na kujua bora yako. Tuna ndoto zetu kubwa sana za kutimiza. Hatupendi so called ndoa za kuchekupiana ndo ziwe sababu ya kuua ndoa zetu kila siku kwa vilio vya samaki mpaka tushondwe kuwaza na kujenga ndoto zetu. Kama kuwa submissive ndo mke bora basi miye sitaki. Mfumo dume unazidi kuharibu vijana wetu sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom