what for? i dont support kwenda je ya ndoa au kuchepuka ila vurugu za nini? unafikili kabla ya kukuoa alikuwa na wangapi, na wewe hata pengine sio mumeo ambae alikutoa bikira, but all in all hakuna haja ya vurugu, its both a sin before God and man, option ya mtu mume au mke kuchepuka ni moja pekee, DIVORCE period, mimi siku nikioa akichepuka divorce na mimi nitawambia nikichepuka anipe divorce, hakuna hata ya vita, vuugu matusi au nini, muachie huo ambae anachepuka nae awe mke wake au awe mume wake, period, i hope nimeeleweka