Tungekua na hiyo namna ningekua wa kwanza kuitumia, maana wanawake nyie mnavyotushawishi kila siku, mara mvae mpasuo, matiti yote nje nje, mara sketi fupi, mara nguo zinazobana yadi misambwada inachomoza hadi tu yaani, ifahamike wanaume tulivyoumbwa huwa tunavutiwo na mlivyo, isingekua hivyo hatungeendeleza vizazi, yaani tunavutiwa na kuwatia mimba. Sasa tatizo huko kuvutiwo hamna namna ya kuzuia kubaki tu ndani ya mkeo, unavutiwo na kila mwanamke huko nje, sema tu tunahangaika kuji-control, la sivyo tungekua kama kuku na jogoo, unaparamia kila unayepishana naye.
Kila siku napishana na warembo, nahangaika mara niangalie chini, mara nijaribu kupotezea ila ndio hivyo najikuta mara moja uzalendo umenishinda namlaza mmoja.
Ningekua na sindano nayojidunga au tembe za kumeza kabla kutoka asubuhi, ambazo zitanisaidia kila nikipishana na mwanamke nisivutiwe naye au hata kumtamani hadi jioni ninaporudi ndani ndio nimeze ili nivutiwe na mke wangu, mbona ningekua natumia kila siku, lakini kwa sasa hamna namna.